-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!

Mkuu upo sahihi kabisa!-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Mkuu jadili hoja iliyopo mezani,acha ujinga na porojo zisizokuwa na maana!Wandishi wa habari wa KAGAME siku hizi mko wengi sana humu JF, mbona mnamsahau SLAA wenu jamani si ndo mwajiri wenu?
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!
mvunja nchi ni mwananchi, mawazo kama haya ya kwako ya kuita viongozi wako dhaifu na kuutukuza ukagame nipuuzi mtupu.
Mkuu jadili hoja iliyopo mezani,acha ujinga na porojo zisizokuwa na maana!
ni miongoni mwa mapandikizi ya kagame!
Wendawazimu ni babako na mamako walikuzaa wewe usiyekuwa na faida yoyote hapa Duniani!Ni mwendawazimu kama wewe ndo anaweza kumsifia KAGAME na ndiyo maana umekosa hoja unaishia kutukana.