Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,742
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana.

Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
 
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!
 
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,

Utakuwa Mnyarwanda haramu pekee uliyebakia nchini, kila wakati kusifia tu KAGAME, huna kazi ya kufanya? kuna hata Idara ya uhamiaji kuwamulika mamluki wa Rwanda mlioko humu JF, hata jana kibaraka wa KAGAME hapa nchini amesikika bungeni akitaka Tanzania iunde chombo cha kusuluhisha mgogoro tena kwa akili yake ya kidato cha nne anasema chombo hicho kianzie kazi yake hapa nchini. Mada hizi zinazidi kunifanya ni connect dots.
 
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .

Unajua hawa wana CDM wote akili zao nyembamba tu kuanzia mwenyekiti wao hadi wana JF, nadhani umempa jibu ambalo ni kama ameendekeza u-form four ataishia kutukana tu.
 
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.

Wandishi wa habari wa KAGAME siku hizi mko wengi sana humu JF, mbona mnamsahau SLAA wenu jamani si ndo mwajiri wenu?
 
Mkuu jadili hoja iliyopo mezani,acha ujinga na porojo zisizokuwa na maana!
 
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!

mawazo dhaifu kama haya lazima yataiona serikali ni dhaifu, uchumi wa rwanda unakuwa? nenda ukajionee maisha ya kishenzi wanayishi sasa.
 
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!

Kweli jasiri haachi asili na msanii hachezi mbali na fani yako. Ulipochagua jina lako ulipatia kabisa. Jina lako linaendana na uligyo.
 
Badilisha jina ujiite bongoamka utaona mabadiliko jinsi utakavyochangia michango chanya tofauti na sasa unapotumia jina la bongolala. Hilo jina waachie chadema
 
Mkuu jadili hoja iliyopo mezani,acha ujinga na porojo zisizokuwa na maana!

Ni mwendawazimu kama wewe ndo anaweza kumsifia KAGAME na ndiyo maana umekosa hoja unaishia kutukana.
 
Wendawazimu ni babako na mamako walikuzaa wewe usiyekuwa na faida yoyote hapa Duniani!
 
Daaa kwa comment hizi tanzania tuna miaka mia ijayo kumfikia kagame
 
Back
Top Bottom