Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Wao wanaiba wanaendelea, wanatumia akili kubwa, sisi na ubongo wetu wa utapiamlo tuna kila kitu lakini hatuendeleai. Tunategemea biashara ya sembe ndio itutoe, mateja wakifa wote na sisi ndio mwisho wetu.-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Ni kwababu Rwanda wanaishi kwa wizi wa mali za DRC, na ndiyo maana Kagame hakutaka ushauri wa Kikwete because anajuwa wamekwisha kiuchumi.
Nilijua ukiwa na kichwa kikubwa unakuwa na akili kumbe wala.Wao wanaiba wanaendelea, wanatumia akili kubwa, sisi na ubongo wetu wa utapiamlo tuna kila kitu lakini hatuendeleai. Tunategemea biashara ya sembe ndio itutoe, mateja wakifa wote na sisi ndio mwisho wetu.
Daaa kwa comment hizi tanzania tuna miaka mia ijayo kumfikia kagame
wendawazimu ni babako na mamako walikuzaa wewe usiyekuwa na faida yoyote hapa duniani!
Wao wanaiba wanaendelea, wanatumia akili kubwa, sisi na ubongo wetu wa utapiamlo tuna kila kitu lakini hatuendeleai. Tunategemea biashara ya sembe ndio itutoe, mateja wakifa wote na sisi ndio mwisho wetu.
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
na hicho ndicho wanachotegemea, ndio maana kagame hataki kuona nchi nyingine inasaidia drc.
Mtumwa wa mawazo wewe na Bendera yako ya Kenya!!!Wewe sio Mtanzania banaTanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!
Unajua hawa wana CDM wote akili zao nyembamba tu kuanzia mwenyekiti wao hadi wana JF, nadhani umempa jibu ambalo ni kama ameendekeza u-form four ataishia kutukana tu.
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
Mvunja nchi ni mwananchi, mawazo kama haya ya kwako ya kuita viongozi wako dhaifu na kuutukuza UKAGAME nipuuzi mtupu.
Nilijua ukiwa na kichwa kikubwa unakuwa na akili kumbe wala.
...jasusi.....ukifatilia huu uzi utadhihirisha ule usemi wa siku hizi kuwa...anaeonekana kuzungumzia madhaifu ya TZ ya leo anaonekana msaliti....ama si mzalendo.....ukweli huu unajidhirisha kwenye uzi huu kwa michango ya watu....na ndio sababu hata kupambana na mambo kama ufisadi...ama biashara chafu za unga inakua shida nchi hii...maana lazima watatoka wapuuzi wengi kutetea uchuro uliotufanya kufika hapa kama nchi....tena wanatetea kwa kigezo cha kipubavu...eti watu wanakosa uzalendo....hapa ndipo tumefika kama nchi....na inasikitisha unakuta hawa na graduates ambapo wanategemewa kesho waijenge TZ......Tuna rais dhaifu ambaye hajui hata dynamics za uchumi. Tuna gavana wa bank bogus ambaye ameshindwa hata kudhibiti mfumko wa gharama za maisha, unategemea nini? Tutakuwa tunawasikiliza tu wenzetu wakipaa sisi gesi tukimkabidhi Mchina kama vile dhahabu tulivyowakabidhi wazungu.