Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.

Hata mekoni chungu kidogo huiva haraka kuliko jungu kubwa!
 
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .

point mfu,, kwa hizo za kupora ndo zinazidi za kwetu za halali?
 
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Wao wanaiba wanaendelea, wanatumia akili kubwa, sisi na ubongo wetu wa utapiamlo tuna kila kitu lakini hatuendeleai. Tunategemea biashara ya sembe ndio itutoe, mateja wakifa wote na sisi ndio mwisho wetu.
 
Ni kwababu Rwanda wanaishi kwa wizi wa mali za DRC, na ndiyo maana Kagame hakutaka ushauri wa Kikwete because anajuwa wamekwisha kiuchumi.

Na hicho ndicho wanachotegemea, ndio maana kagame hataki kuona nchi nyingine inasaidia DRC.
 
Uchumi gani unaosema na wewe mbulula nyie warwanda wa ajabu sana mnaiba madini congo bila ushuru halafu leo mseme uchumi unakua kwenda zako na lwanda yako.
 
Wao wanaiba wanaendelea, wanatumia akili kubwa, sisi na ubongo wetu wa utapiamlo tuna kila kitu lakini hatuendeleai. Tunategemea biashara ya sembe ndio itutoe, mateja wakifa wote na sisi ndio mwisho wetu.
Nilijua ukiwa na kichwa kikubwa unakuwa na akili kumbe wala.
 
Daaa kwa comment hizi tanzania tuna miaka mia ijayo kumfikia kagame

hajawahi kuwa role model wetu sasa nani anataka kumfikia kwa kuua watu, kwa kuanzisha vikundi vya waasi kwenye nchi za watu kwa visingizio vinavyokaribia robo karne?
 
Wao wanaiba wanaendelea, wanatumia akili kubwa, sisi na ubongo wetu wa utapiamlo tuna kila kitu lakini hatuendeleai. Tunategemea biashara ya sembe ndio itutoe, mateja wakifa wote na sisi ndio mwisho wetu.

hIYO PICHA NI YAKO? MANAKE UNAVYOONEKANA NA UNAYOYAANDIKA KAMA DU.... YANI NIMEISHIWA MANENO
 
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .

na zako zinazoporwa na wazungu kule mwanza ..tanzanite kupitia mirahaba uzioni...embu kubali ukweli ukusaidie hata kama sio wewe basi wajukuu zako..leo mtoto wa rwanda shule ya msingi ajui upe ajui ada anasomea computer ...wako umejiandaaje kujua hili???
 
na hicho ndicho wanachotegemea, ndio maana kagame hataki kuona nchi nyingine inasaidia drc.

wizi unaosemea wewe rwanda kwa drc kwenu umelalia wazungu wanakuja kuchota na kuishia 3% ya mirahaba mna laana nyie kweli kweli......
 
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!
Mtumwa wa mawazo wewe na Bendera yako ya Kenya!!!Wewe sio Mtanzania bana
 
Uchumi unakua Kigali Peke yake,ni kwenye elite area ambako ni watutsi waliotwaa madaraka baada ya kuliberate Rwanda wanaishi.na unakua si kingine ni kwa misaada wanayopewa na Europeans pamoja na madini wanayochota Congo.ukitoka nje kidogo tu ya Kigali na hasa maeneo wanayoishi wahutu wana umasikini usiotazamika

Rwandans so poor to be sterilized
 
Unajua hawa wana CDM wote akili zao nyembamba tu kuanzia mwenyekiti wao hadi wana JF, nadhani umempa jibu ambalo ni kama ameendekeza u-form four ataishia kutukana tu.

MAGAMBA tatizo lao ni kuambiwa ukweli. Kwao uongo na sifa zisizo stahili ndio sera. Kinacho zungumzwa ni uchumi wa Rwanda kukua kwa kasi na mfumuko wa bei kushuka kwa kasi. Hilo la wizi wa rasilimali DRC mnalijua nyie na sio taasisi za kiuchumi duniani.
 
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.

Usilete matusi yako hapa. wewe pia ni mnyarwanda tuna wanyarwanda wengi hapo Mbeya toka miaka mingi. wote wanajulikana kwa majina. Kuna kitu gani cha kujifunza Rwanda? kwa nini unailinganisha TZ na Rwanda? hivi unashindwa kuelewa kuwa mkoa wa mbeya wenyewe ni mkublwa kuliko Rwanda? wewe unaweza kuilinganisha Marekani na TZ?
 
Mvunja nchi ni mwananchi, mawazo kama haya ya kwako ya kuita viongozi wako dhaifu na kuutukuza UKAGAME nipuuzi mtupu.

Oo! tutampiga, yakowapi sasa? JK kwisha habari yake sasa anahaha kutafuta suruhu chezea KAGAME wewe
 
Tuna rais dhaifu ambaye hajui hata dynamics za uchumi. Tuna gavana wa bank bogus ambaye ameshindwa hata kudhibiti mfumko wa gharama za maisha, unategemea nini? Tutakuwa tunawasikiliza tu wenzetu wakipaa sisi gesi tukimkabidhi Mchina kama vile dhahabu tulivyowakabidhi wazungu.
...jasusi.....ukifatilia huu uzi utadhihirisha ule usemi wa siku hizi kuwa...anaeonekana kuzungumzia madhaifu ya TZ ya leo anaonekana msaliti....ama si mzalendo.....ukweli huu unajidhirisha kwenye uzi huu kwa michango ya watu....na ndio sababu hata kupambana na mambo kama ufisadi...ama biashara chafu za unga inakua shida nchi hii...maana lazima watatoka wapuuzi wengi kutetea uchuro uliotufanya kufika hapa kama nchi....tena wanatetea kwa kigezo cha kipubavu...eti watu wanakosa uzalendo....hapa ndipo tumefika kama nchi....na inasikitisha unakuta hawa na graduates ambapo wanategemewa kesho waijenge TZ......

.....Tukija kwenye issue ya Rwanda na maendeleo yao ya haraka ukilinganisha na wengine(kama TZ)...hawa wanaosema kuwa Rwanda wanaendelea kwa kutumia raslimali wanazopora DRC...mbona hawajiulizi kwanini basi TZ isiendlee kwa raslimali tele ilizonazo???...ama nazo zinaporwa na Rwanda????.....ujinga huu wa kifikra.....

....Ukweli unabaki pale pale kuwa Rwanda wanaongozwa na kiongozi ambae anaongoza kwa ideology ya "self dependency ..as a country"...as opposed to mtawala wa TZ(JK)...ambaye anaendesha nchi kwa ideology ya "begging for survival".....huu ni ukweli mchungu....na ndio tofauti kubwa kati ya uongozi wa Rwanda na TZ.....

....In fact tofauti kwenye ideology za kiuongozi inaweza kuwa ndicho kikwazo kikubwa kinachofanya TZ ionekane kama inatengwa kwenye issue za EAC.....pamoja na kuwa watu wengi wamekazia kuwa yote yanatokana na ugomvi wa PG na JK...mimi naona ugomvi huu ni catalyst tu ya issue zilizojificha....ambazo(unfortunately)watu hawaziongelei......

...Pale ambapo PG na marais wengine karibu wote wa EAC wanapita na kuhuburi "self dependency as countries"....ni JK pekee kati ya wote ambae anapita dunia nzima bila aibu(tena openly)akihubiri "begging for survival as a country"....Huu ni ukweli usiofichika na ndio umeiweka TZ katika hali iliyopo.....na sioni kwanini usiifanye TZ kutengwa na wengine....pamoja na resources zilizopo.....Ni wajinga pekee watabeza maendeleo ya Rwanda...huku wakisahau uchuro uliopo TZ unaofanywa na watawala wao.....

.....Hata kule Zimbabwe kwa Mugabe...ambae JK na ccm yake wanamtumia kama role model.....yeye naye Mugabe ideology yake kiutawala pia ni "self dependency as a country"...na ndio imemfanya hata atengwe na nchi za magharibi....lakini utashangaa serikali ya ccm wanatoka kinafiki na kujifanya eti waumini wa sera za Mugabe.....wakati si kweli kimsingi......Tofauti kubwa ya PG na JK kiutawala ni kuwa mmoja ni "self dependent leader"....na mwingine ni "world begger"......huu ni ukweli mchungu kwa wajinga wengi TZ........
 
kweli Tanzania inasikitisha sana.akili nyingi haiwezi kuongoza akili ndogo.viongozi wa Tanzania ni mipasho tu.Huku wanaongoza kwa resources east africa.lakini kiuchumi kenya na rwanda wanaongoza.acheni kwenda ulaya mashariki kusomea mambo ya propaganda ,someeni mambo ya uchumi ili tujenge inchi.najua mmepewa computere na air time za kumwaga sana lakini hamna point yeyote.pole njaa inawaua najua.Lakini Taifa kwanza na wala sio watoto wako waende chooni.
 
Back
Top Bottom