mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
mvunja nchi ni mwananchi, mawazo kama haya ya kwako ya kuita viongozi wako dhaifu na kuutukuza ukagame nipuuzi mtupu.
hana sifa ya kuitwa mtanzania huyu mtumwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mvunja nchi ni mwananchi, mawazo kama haya ya kwako ya kuita viongozi wako dhaifu na kuutukuza ukagame nipuuzi mtupu.
Rudi huko kwenu Rwanda ukamilishe idadi ya wahamiaji haramu waliovuka mpakaKupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
Tanzania tuna serikali dhaifu,Inatakiwa tufungue soko la kimataifa la dhahabu,almasi,tanzanite,uranium,gesi uchumi ungepaa kuliko!
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Badilisha jina ujiite bongoamka utaona mabadiliko jinsi utakavyochangia michango chanya tofauti na sasa unapotumia jina la bongolala. Hilo jina waachie chadema
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Mimi nafikiri tunashindwa kuelewa mada hapa uCCM na uCDM unatokea wapi ndugu habari hii imesomwa na ITV na imeeleza uhalisia jamani tuache ujinga wa kujiondoa akili na kuwaza CDM kila kikicha.Utakuwa Mnyarwanda haramu pekee uliyebakia nchini, kila wakati kusifia tu KAGAME, huna kazi ya kufanya? kuna hata Idara ya uhamiaji kuwamulika mamluki wa Rwanda mlioko humu JF, hata jana kibaraka wa KAGAME hapa nchini amesikika bungeni akitaka Tanzania iunde chombo cha kusuluhisha mgogoro tena kwa akili yake ya kidato cha nne anasema chombo hicho kianzie kazi yake hapa nchini. Mada hizi zinazidi kunifanya ni connect dots.
Kwa hiyo kwa akili yako hata yule Mtangazaji wa ITV aliyeitangaza habari hii ni CHADEMA kuweni na akili mnaposoma na kujibu thread unatakiwa uelewe nini hasa kilichoandikwa na source ya habari ni ipi.Unajua hawa wana CDM wote akili zao nyembamba tu kuanzia mwenyekiti wao hadi wana JF, nadhani umempa jibu ambalo ni kama ameendekeza u-form four ataishia kutukana tu.
Katika hoja hii Dr. Slaa anaingiaje ndugu? kama huna cha kuchangia kausha usijivue akili nduguWandishi wa habari wa KAGAME siku hizi mko wengi sana humu JF, mbona mnamsahau SLAA wenu jamani si ndo mwajiri wenu?
Umeandika kinadharia zaidi Rwanda kwa sasa wenzetu wanakaribia kuondokana na nyumba za kuhezeka kwa Nyasi na udongo 90% ya wakazi wa rwanda kwa sasa wanaishi kwenye nyumba za Bati na hili limefanyika kwa serikali kukopesha mabati kwa watu wake kwani hata wakulima wamekopeshwa na kipindi cha mavuno ulipa mavuno yao au fedha.mawazo dhaifu kama haya lazima yataiona serikali ni dhaifu, uchumi wa rwanda unakuwa? nenda ukajionee maisha ya kishenzi wanayishi sasa.
Huna hoja ya kuandika ungekaa kimya, ulichokiandika hakishabihiiani na mada iliyopo mezani.umeonae, wanafikir KAGAME atawagawia madini anayoiba KONGO, watatembeza sana mabakuli kwenye mikutano ya M4C
Daaa kwa comment hizi tanzania tuna miaka mia ijayo kumfikia kagame
Rudia ulichokiandika halafu soma mada iliyo mezani kama vinaendana na kwa mawazo kama haya ndio mmeifikisha CCM hapa ilipofikahuyu ni mmoja wapo wa watumwa wa kagame
Mimi ni Mtanzania kuliko wewe hapa tunachofanya ni kuishtua serikali iweze angalau kuiga mazuri wanayofanya wenzetu lakini nyie anaewakosoa mnamuona aduihana sifa ya kuitwa mtanzania huyu mtumwa.
Hili lipo Tanzania tu pekee wenzetu kule uchumi unakua na maendelea ya watu yanaonekana pia, tafuta takwimu utaona ukweli wanguKwani tumepitwa na Rwanda tu katika Africa, au wewe unaona huu ni muda wa kulinganisha Rwanda na Tz? Kukua kwa uchumi kuna faida gani kama hakuakisi maendeleo halisi ya watu?
Kwa hiyo turudi Rwanda mimi na huyu mtangazaji wa ITV? maana yeye katoa kwenye TV na mimi nimeileta hapa JFRudi huko kwenu Rwanda ukamilishe idadi ya wahamiaji haramu waliovuka mpaka
Kama ni kweli Yeye anaiba DRC anaijenga nchi yake huku kwetu wanaiba wanakwenda kuzificha fedha mabenk ya nje ya nchi kwahili nani afadhari?Ni kwababu Rwanda wanaishi kwa wizi wa mali za DRC, na ndiyo maana Kagame hakutaka ushauri wa Kikwete because anajuwa wamekwisha kiuchumi.
Kama ni kweli Yeye anaiba DRC anaijenga nchi yake huku kwetu wanaiba wanakwenda kuzificha fedha mabenk ya nje ya nchi kwahili nani afadhari?
Hili lipo Tanzania tu pekee wenzetu kule uchumi unakua na maendelea ya watu yanaonekana pia, tafuta takwimu utaona ukweli wangu
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
Tuna rais dhaifu ambaye hajui hata dynamics za uchumi. Tuna gavana wa bank bogus ambaye ameshindwa hata kudhibiti mfumko wa gharama za maisha, unategemea nini? Tutakuwa tunawasikiliza tu wenzetu wakipaa sisi gesi tukimkabidhi Mchina kama vile dhahabu tulivyowakabidhi wazungu.Utakuwa Mnyarwanda haramu pekee uliyebakia nchini, kila wakati kusifia tu KAGAME, huna kazi ya kufanya? kuna hata Idara ya uhamiaji kuwamulika mamluki wa Rwanda mlioko humu JF, hata jana kibaraka wa KAGAME hapa nchini amesikika bungeni akitaka Tanzania iunde chombo cha kusuluhisha mgogoro tena kwa akili yake ya kidato cha nne anasema chombo hicho kianzie kazi yake hapa nchini. Mada hizi zinazidi kunifanya ni connect dots.