ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Saidoo wetu anawasaidia sana nyie mtushukuru sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu nao ni kipajiSaidoo wetu anawasaidia sana nyie mtushukuru sana...
PILI amepona?
HanaAna sifa lazma apate Injury
Hakuwahi kucheza mechi ya kimataifa akiwa na GeitaHiv kuchezea Geita mashindano ya kimataifa hakuwez kumfanya akose sifa za kucheza Simba club bingwa?
Hii ndiyo sababu iliyomfanya akose sifa.Hiv kuchezea Geita mashindano ya kimataifa hakuwez kumfanya akose sifa za kucheza Simba club bingwa?
Bora na wewe umeonaSimba nao wananiangusha. Walitoa taarifa za kikosi wakatuambia Okrah pekee atakosekana. Leo Saido hayupo. Walisahau au vipi. Hizi drama zina faida gani
Mlipeni chake, huyu na BM33 hakuna tofautiSimba nao wananiangusha. Walitoa taarifa za kikosi wakatuambia Okrah pekee atakosekana. Leo Saido hayupo. Walisahau au vipi. Hizi drama zina faida gani
Mimi nikimuonaga mwanangu Kibu tu roho yangu swaaafiii...hao wengine mpira hawajui ndo maana wanaachwaMwenye kujua sababu za Ntibazonkiza kutojumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba wanaosafiri kwenda Guinea kuivaa Holoya atueleze.
It is said kwamba hayupo cup tied coz hajacheza mchezo wowote huko Geita gold alikotoka. Sasa kama hana majeraha yoyote kwann aachwe Dar wakati mchango wake kwa timu (in recent games) ni mkubwa?
![]()
Hiki kikosi kikijitahidi kupata matokeo ugenini basi ni sare! Maana walinzi na viungo ndiyo wametia fora.Mwenye kujua sababu za Ntibazonkiza kutojumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba wanaosafiri kwenda Guinea kuivaa Holoya atueleze.
It is said kwamba hayupo cup tied coz hajacheza mchezo wowote huko Geita gold alikotoka. Sasa kama hana majeraha yoyote kwann aachwe Dar wakati mchango wake kwa timu (in recent games) ni mkubwa?
![]()
MmmmhHiki kikosi kikijitahidi kupata matokeo ugenini basi ni sare! Maana walinzi na viungo ndiyo wametia fora.
Mwenye kujua sababu za Ntibazonkiza kutojumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba wanaosafiri kwenda Guinea kuivaa Holoya atueleze.
It is said kwamba hayupo cup tied coz hajacheza mchezo wowote huko Geita gold alikotoka. Sasa kama hana majeraha yoyote kwann aachwe Dar wakati mchango wake kwa timu (in recent games) ni mkubwa?
![]()
Kwani nyie mumeshavuka hadi mufukirie ya Simba? Hakika Luc Eymael aliona mbali kuwaita nyie mbwa na kimaHiki kikosi kikijitahidi kupata matokeo ugenini basi ni sare! Maana walinzi na viungo ndiyo wametia fora.
Khaaa aliwatusi vibayaaa....Kwani nyie mumeshavuka hadi mufukirie ya Simba? Hakika Luc Eymael aliona mbali kuwaita nyie mbwa na kima