Kwanini Saidoo hayupo kwenye orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri?

Wazee mifupa imeanza kukakamaa hawawezi cheza mfululizo
 
Sio Mbaya Ile ni Mechi ya ugenini, ugenini unakwenda kwa mkakati wa kuzuia zaidi, kupunguza MAGOLI na KUSHINDA.

HUWEZI kwenda na silaha zooote, MICHEZO ijayo atakuwepo.

Msilete mambo ya Ausems uchebe.
Unaenda kucheza na Al ahly bila kuzuia unakula nne.
7. Okwi.
9. Kagere
10. Boko
11. Chama

Ndio maana mnyama Alikuwa anakufa 5 Tano.
 
Hiv kuchezea Geita mashindano ya kimataifa hakuwez kumfanya akose sifa za kucheza Simba club bingwa?
Hakuwahi kucheza mechi ya kimataifa akiwa na Geita
 
Simba nao wananiangusha. Walitoa taarifa za kikosi wakatuambia Okrah pekee atakosekana. Leo Saido hayupo. Walisahau au vipi. Hizi drama zina faida gani
 
Mimi nikimuonaga mwanangu Kibu tu roho yangu swaaafiii...hao wengine mpira hawajui ndo maana wanaachwa
 
Mlipeni fedha zake acheni longolongo?
 
Hiki kikosi kikijitahidi kupata matokeo ugenini basi ni sare! Maana walinzi na viungo ndiyo wametia fora.
 

Kocha ndiyo anajua maana ni mwalimu! Tusimpangie cha kufanya, sisi tusubiri matokeo!
 
Kwani nyie mumeshavuka hadi mufukirie ya Simba? Hakika Luc Eymael aliona mbali kuwaita nyie mbwa na kima
Khaaa aliwatusi vibayaaa....
Ma mbwa na ma kima duuh huyo muzungu sio mutu...
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…