Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

Mtumbatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
363
Reaction score
171
1702811390590.png
1702811431720.png

Kisha tuiachie X iweke tafsiri, kuliko kutumia lugha ya malkia halafu tunaonekana wa hovyo tu.
 
Kawaida sana

Bainisha na ainisha makosa iliyoyang'amua,kwenye maandiko husika.

Ponda ponda FC generation. Nimejitahidi kuangalia makosa sijaona hata 1 au mimi sijasoma shule wanaopanda magari ya Njano.

Mbona ziko sawa tu!
1. Hiyo ya Dr. Mwinyi hapo kwenye "We offer our deepest sympathies with the loss of..." kuna makosa badala ya hiyo WITH palitakiwa pawekwe FOR.

Isomeke hivi "We offer our deepest sympathies for the loss of..."

2. Hiyo ya Samia hapo kwenye "It is with deep sadness we have received the news..." kuna neno THAT limekuwa skipped. Ingekuwa sahii kama ingesoma hivi.

"It is with deep sadness that we have received the news..."
Kama nimekosea aje linguist hapa.
 
2. Hiyo ya Samia hapo kwenye "It is with deep sadness we have received the news..." kuna neno
THAT limekuwa skipped. Ingekuwa sahii kama ingesoma hivi.

"It is with deep sadness
that we have received the news..."
Kama nimekosea aje linguist hapa.
Upo sahihi Boss
 
Home boy kumbe upo vzr kwenye lugha ya Malkia
 
1. Hiyo ya Dr. Mwinyi hapo kwenye "We offer our deepest sympathies with the loss of..." kuna makosa badala ya hiyo WITH palitakiwa pawekwe FOR.

Isomeke hivi "We offer our deepest sympathies for the loss of..."

2. Hiyo ya Samia hapo kwenye "It is with deep sadness we have received the news..." kuna neno
THAT limekuwa skipped. Ingekuwa sahii kama ingesoma hivi.

"It is with deep sadness
that we have received the news..."
Kama nimekosea aje linguist hapa.
Common mistakes
 
Avoid troublesome and foul mouthed individuals as partners either as a male or female.

In fact avoid illiterates in any sphere of life if you love yourself.
 
Ujue kila mahala sio kuandika kama unajibu mtihani wa English..
Umesikiliza speech za Wazungu tofauti tofauti, wanaongea broken sana lakini kwa kuwa ni wazungu....hamuoni kama wana kosea!
Mkuu hapa tunaongelea watz hakuna anayekataa hakuna watu wa mataifa mengine wanaochapia.
Kwa hii case..tena mamlaka kubwa, bora wakosee wakati wa kuzungumza lakini official statement kuwa na makosa ina indicate uzembe mkubwa. Labda tu huna exposure ya mazingira ya kazi ungelielewa uzito wake.
 
Kawaida sana haina maajabu hiyo lugha. Ila huwa inaleta ukakasi mtu yupo kwenye taasisi kubwa kama State House n.k anafanya rookie mistakes kama hizo.
Kiukwel binafsi hata sijagundua kama palikuwa na makosa mpaka nliposoma hapo
 
1. Hiyo ya Dr. Mwinyi hapo kwenye "We offer our deepest sympathies with the loss of..." kuna makosa badala ya hiyo WITH palitakiwa pawekwe FOR.

Isomeke hivi "We offer our deepest sympathies for the loss of..."

2. Hiyo ya Samia hapo kwenye "It is with deep sadness we have received the news..." kuna neno THAT limekuwa skipped. Ingekuwa sahii kama ingesoma hivi.

"It is with deep sadness that we have received the news..."
Kama nimekosea aje linguist hapa.
Hii ya kiongozi wa bara bila hiyo that pia ingeweza kuwa correct kama ange-punctuate vizuri ujumbe wake
 
Kawaida sana haina maajabu hiyo lugha. Ila huwa inaleta ukakasi mtu yupo kwenye taasisi kubwa kama State House n.k anafanya rookie mistakes kama hizo.
Tena kwenye jambo la kifo (rambi rambi) kwa nchi mfadhili, Ndio namkumbuka Magufuli na kumuelewa kwanini alikuwa anatumia Kiswahili zaidi. Ingekuwa ni salamu za posa kule kaskazini magharibi basi wangerudisha hiyo posa. maana umewakosea.
 
Back
Top Bottom