Walimu wa kiengereza shida sana sisi wakiongea kiswahili au kuandika hovyo tunafurahia sababu tunajuwa wamejaribu kuongea lugha yetu. Sasa imetumwa Kuwait hata wao English sio lugha yao kwa hiyo watakaa wanafanya correction kwenye Grammar? Labda wangeandika kiarabu tu si inaenda kwa wafiwa( waarabu). Hebu tufanyeni kazi sio kila jambo kukosoa tu. Kiswahili tu lugha yetu lakini toa mtihani wa kuandika barua tu ndio utajuwa hujui hata kiswahili. Wewe soma ukielewa tu inatosha.1. Hiyo ya Dr. Mwinyi hapo kwenye "We offer our deepest sympathies with the loss of..." kuna makosa badala ya hiyo WITH palitakiwa pawekwe FOR.
Isomeke hivi "We offer our deepest sympathies for the loss of..."
2. Hiyo ya Samia hapo kwenye "It is with deep sadness we have received the news..." kuna neno THAT limekuwa skipped. Ingekuwa sahii kama ingesoma hivi.
"It is with deep sadness that we have received the news..."
Kama nimekosea aje linguist hapa.