Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

Walimu wa kiengereza shida sana sisi wakiongea kiswahili au kuandika hovyo tunafurahia sababu tunajuwa wamejaribu kuongea lugha yetu. Sasa imetumwa Kuwait hata wao English sio lugha yao kwa hiyo watakaa wanafanya correction kwenye Grammar? Labda wangeandika kiarabu tu si inaenda kwa wafiwa( waarabu). Hebu tufanyeni kazi sio kila jambo kukosoa tu. Kiswahili tu lugha yetu lakini toa mtihani wa kuandika barua tu ndio utajuwa hujui hata kiswahili. Wewe soma ukielewa tu inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…