CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Jul 15, 2025 #21 Kamundu said: Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa Makaumu wa Raisi Mpango Waziri Mkuu Majaliwa Spika Ndugai Click to expand... Mtu akikaribia kukata roho huwa anatapatapa sana, Kisukuma tumasema is last kick of a dying horse.
Kamundu said: Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa Makaumu wa Raisi Mpango Waziri Mkuu Majaliwa Spika Ndugai Click to expand... Mtu akikaribia kukata roho huwa anatapatapa sana, Kisukuma tumasema is last kick of a dying horse.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Jul 15, 2025 #22 Lengo hapo ni kutaka kuwapa tu wahuni uhuru wa kufanya uhuni wao.