Kwanini Samia asiwe Mama wa Taifa? Nchi imetulia ukilinganisha na miaka mitano iliyopita

Mkungunero

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2023
Posts
401
Reaction score
569
Mimi naona anafaa sana maana sasa hivi nchi imetulia sana. Kuna uhuru wa kila namna na Watanzania tunajisikia kuwa Watanzania na si watumwa ndani ya nchi yetu kama kipindi cha yule jamaa ambapo hata kwenye daladala tulikuwa tunaogopana.

Above all, naomba aongoze maisha yake yote mpaka atakapokufa. Kama Urusi au China wana life presidents kwanini sisi tusihalalishe?
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenzio kasema awe rais mpaka 2035, usijali mkuu atakuwa life president.
 
na wewe kufikiri kwako kumeishia hapo.....
 
Akiwa mama Yako inatosha
 
Nchi yenyewe ndiye mama wa wananchi. Nchi huwa haina mama duniani kote. Ukiona mtu anataka mtu awe mama wa taifa jua huyo ni mtu mpumbavu na hayawani asiye na akili kabisa.
 
Wafuasi wa mfumo rijali povu kama lote😆
 
Akili yako ya kufikiri ndio imeishia hapo kwamba "Mama Samia haitoshi unataka aitwe mama wa taifa"

Kwa hiyo mke wa Nyerere haitwe vipi.

Alafu wakati mwingine hayo majina ya mama mama hayana tija, sisi tunachotaka ni maendeleo ya nchi, hajawekwa hapo kwa bahati mbaya kwamba tumuite mama. Ata akishwanda yeye yupo atakayekuja na kufanya maendeleo
 
Nchi imekuwa shamba la Bibi, kila kona inapigwa ndio utulivu wenyewe?. Au kwa kuwa kuna viongozi dhaifu asiyeweza hata kukemea upumbavu ndio utulivu wenyewe?
 
Kwani wewe ukitangaza kuwa Mama wa ukoo wenu unashindwa?
 
Unajua watu tunatofautiana Sana aidha maoni ya mtu binafsi huathiliwa pia na ubinafsi na nafasi aliyo nayo wakati huo kuufikia mkate wa uzima.
Labda nikuulize we sa hivi upo kitengo gani Cha upigaji au kamba yako Ina urefu gani hadi uponyokwe na Dua kubwa namna hiyo?
 
We kama huna mama nenda vituo vya kulea yatima tuondolee uharo hapa.
 
Awe mama yako kabisa
 
Dunia inatambua mchango wake harafu sisi tumejikalisha tuu kana kwamba hatuoni Juhudi zake.

Ama kweli Nabii hakubadili nyumbani.

Naunga mkono hoja kwanza Kwa sababu yeye ndio Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…