Kwanini Samia asiwe Mama wa Taifa? Nchi imetulia ukilinganisha na miaka mitano iliyopita

Kwanini Samia asiwe Mama wa Taifa? Nchi imetulia ukilinganisha na miaka mitano iliyopita

Mimi naona anafaa sana maana sasa hivi nchi imetulia sana. Kuna uhuru wa kila namna na Watanzania tunajisikia kuwa Watanzania na si watumwa ndani ya nchi yetu kama kipindi cha yule jamaa ambapo hata kwenye daladala tulikuwa tunaogopana.

Above all, naomba aongoze maisha yake yote mpaka atakapokufa. Kama Urusi au China wana life presidents kwanini sisi tusihalalishe?
Abuduli Bwana!!!
Alivyokuzaa wewe haitoshi mpaka atuzae na Sisi? Yaani unataka Sisi tuwe wadogo zako Abuduli?
 
Back
Top Bottom