Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kichaa moja wapo ni wewe. Ni nani kasema asiende nje? Hoja ni kwamba asiende nje kuomba omba na kuuza bandari zetu.Si mlisema apunguze safari za kwenda nje ya nchi? Hiv watanzania wana matatizo gani? Akienda shida, asipoenda taabu?
Kuna uwezekano hii nchi ikawa na vichaa wengi sana!!
Anatapanya pesa kulipa wasanii badala kuwaza vyanzo vipya vya umeme.Niko nafwatilia speech za viongozi wa afrika huko UN lakini mpaka sasa sijaona jina la rais wetu Samia. Je nini tatizo?
NB: Mara ya mwisho nilimuona juzi akiwa jukwaani huko mtwara na akina Harmonize.
Amekwepa maswali kuhusiana na uongozi wake kuwa ktk kashfa nyingi za upigaji ie DP World. Camera za vyombo vya habari vya kimataifa visingemuacha salama! Labda alinusa kwamba akina Stephen wa BBC Hard talk wanamsubiri.Niko nafwatilia speech za viongozi wa afrika huko UN lakini mpaka sasa sijaona jina la rais wetu Samia. Je nini tatizo?
NB: Mara ya mwisho nilimuona juzi akiwa jukwaani huko mtwara na akina Harmonize.
Issue ya Ngorongoro ni mwiba kwake,kumbe UNESCO walishaipa serikali muongozo wa namna ya kushughulikia suala la Masai kuhama!Amekwepa maswali kuhusiana na uongozi wake kuwa ktk kashfa nyingi za upigaji ie DP World. Camera za vyombo vya habari vya kimataifa visingemuacha salama! Labda alinusa kwamba akina Stephen wa BBC Hard talk wanamsubiri.
AiseeBora abaki tu nchini mana kila akienda nje anaenda kudalalia raslmali za nchi.
Kitu hatutaki ni rais kwenda kuomba omba na kudalila bandari zetu.Sema waTz bana, akienda kero, asipoenda kero,
Ndo mana alisema yeye atafanya tu, mana watu watasema tu,
Una umri Gani?Si mlisema apunguze safari za kwenda nje ya nchi? Hiv watanzania wana matatizo gani? Akienda shida, asipoenda taabu?
Kuna uwezekano hii nchi ikawa na vichaa wengi sana!!
Niko nafwatilia speech za viongozi wa afrika huko UN lakini mpaka sasa sijaona jina la rais wetu Samia. Je nini tatizo?
NB: Mara ya mwisho nilimuona juzi akiwa jukwaani huko mtwara na akina Harmonize.
Kwan ukiacha issue ya bandari kadalalia nn tena, mbna kila akienda maneno,Kitu hatutaki ni rais kwenda kuomba omba na kudalila bandari zetu.
Kwenda kwenye mkutano wa UN kunaisaidia Tz kujitangaza na watu kuijua zaidi.
kwani unadhani wanahutubia pale UN wote ni marais? kuna marais, prime ministers, mawaziri, mabalozi etc ilimradi allocation ya kila nchi ipate mzungumzaji.Niko nafwatilia speech za viongozi wa afrika huko UN lakini mpaka sasa sijaona jina la rais wetu Samia. Je nini tatizo?
NB: Mara ya mwisho nilimuona juzi akiwa jukwaani huko mtwara na akina Harmonize.
Kwa aibu aliyolitia taifa ingeshangaza kwenda yani kila sehemu duniani watanzania tunafikilika kua niwatu wajinga sana kwa vipengele vya mkataba wa Bandari .Si mlisema apunguze safari za kwenda nje ya nchi? Hiv watanzania wana matatizo gani? Akienda shida, asipoenda taabu?
Kuna uwezekano hii nchi ikawa na vichaa wengi sana!!