Kwanini Samia hajaenda kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN)?

Si mlisema apunguze safari za kwenda nje ya nchi? Hiv watanzania wana matatizo gani? Akienda shida, asipoenda taabu?

Kuna uwezekano hii nchi ikawa na vichaa wengi sana!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Umeona ee?
 
"Kikwete anaenda UN kama nani?'"

JIBU NI

Nahisi hajawakilisha nchi,nchi
imewakilishwa na na VP Mpango, yeye Kikwete ni kiongozi kwenye baadhi ya jumuiya za kimataifa,kama sio mwenyekiti ni mjumbe ,kwa nafasi hiyo anaweza hudhuria
 
Si mlisema apunguze safari za kwenda nje ya nchi? Hiv watanzania wana matatizo gani? Akienda shida, asipoenda taabu?

Kuna uwezekano hii nchi ikawa na vichaa wengi sana!!
Hii ni tofauti na ziara!
Wacha upopoma wako wa ki- CCM....
Hii ni mojawapo ya vikao muhimu kwa nchi kuwakilishwa.na Rais mwenye kujielewa na kuuelewa umuhimu wa uongozi.hawezi kuacha hii ikampita.
Hii ni platform ya kukutana na viongozi wote Duniani na huko ndio lobbying za muhimu hufanyika.
Ila inahitaji Rais anayeelewa anachokirafuta kwa niaba ya nchi yake.
Huko panahitaji Genius leader na sio ile misafara ya ziara kukagua gwaride viwanja vya ndege?
Je!
Wa kwetu ni Presidential Materials?????
Tuanzie hapo.
View attachment 2758078
 
Si mlisema apunguze safari za kwenda nje ya nchi? Hiv watanzania wana matatizo gani? Akienda shida, asipoenda taabu?

Kuna uwezekano hii nchi ikawa na vichaa wengi sana!!
Ameshutuka , Ameisha likoroga, Diaspora wangempokea na kumsindikiza na Mabango, lakini pia Dunia mpaka sasa haimwelewi, upende usipende ndivyo ilivyo, Pamoja na mengine kwa wamasai wa Ngorongoro aliemshauri alimwingiza cha kiume
 
Hajiendei tu...

Ana makubwa ya kuyafanya kwa kipindi hiki....

Umesikia kuwa kwa miaka 2 ya uongozi wake UCHUMI umekuwa dola bilioni 18 zaidi ya jumla ya Kenya na Uganda?!!! [emoji1787]
 
Ameshutuka , Ameisha likoroga, Diaspora wangempokea na kumsindikiza na Mabango, lakini pia Dunia mpaka sasa haimwelewi, upende usipende ndivyo ilivyo, Pamoja na mengine kwa wamasai wa Ngorongoro aliemshauri alimwingiza cha kiume
Dunia gani isiyomuelewa ?!!!

Wa DUNIANI wanakuhusu nini wewe?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Delusion hiyo.....

George Bush hakueleweka na dunia na bado wananchi wake walimuelewa.....
 
Dunia gani isiyomuelewa ?!!!

Wa DUNIANI wanakuhusu nini wewe?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Delusion hiyo.....

George Bush hakueleweka na dunia na bado wananchi wake walimuelewa.....
Unajua maana ya Delusion? Hii ni fact, Tulitegemea nchi toka kwenye mkwamo hasa anzia kipindi cha mwendazake , leo hata huelekeo haupo,
 
Unajua maana ya Delusion? Hii ni fact, Tulitegemea nchi toka kwenye mkwamo hasa anzia kipindi cha mwendazake , leo hata huelekeo haupo,
Delusion unaijua wewe peke yako....

Mwelekeo upi ?!!!

Ndani ya miaka 2 ya uongozi wake taifa limejipatia dola bilioni 18....hii ni jumla ya bilioni 17 za mataifa ya Kenya na Uganda....

Unaongelea takwimu jadidi ama mbango ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…