Kwanini Samia hataki kuchukua hatua kwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam cha kudhalilisha wanawake?

Kwanini Samia hataki kuchukua hatua kwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam cha kudhalilisha wanawake?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana?

Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe nyumbani?

Anapata wapi mandatory ya kuzungumzia rushwa hadharani?

Kwanini Rais ambaye ni mfariji namba moja ndiyo amekaa kimyaa kwenye suala muhimu kama hili?
 
Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana? Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe nyumbani? anapata wapi mandatory ya kuzungumzia rushwa hadharani? Kwanini Rais ambaye ni mfariji namba moja ndiyo amekaa kimyaa kwenye suala muhimu kama hili?
Akikosa wewe utapata huko ukuu wa Mkoa?
 
Labda leo baada ya mkutano kumalizika ndio atapitia hilo file la Chala boy
 
Wivuu wivu mama wivuu
Wala siyo wivu maneno Yake Yana adhari kubwa sana kwenye sekta ya afya, Sasa itaonekana kutoa pesa ili upate huduma hata zile huduma za Bure za mama na mtoto ni jambo la kawaida. Ila kwa kuwa nchi hii wajinga wengi kama wewe mnaona ni sawa tu bila kujua Kuna watu hawana hata Elfu moja ya kula.
 
Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana? Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe nyumbani? anapata wapi mandatory ya kuzungumzia rushwa hadharani? Kwanini Rais ambaye ni mfariji namba moja ndiyo amekaa kimyaa kwenye suala muhimu kama hili?
Sababu ni hii:
1. CCM mwenzangu
2. anaweza kuwasema vibaya chadema
3. Hataki kuonekana ame bow/succumb to pressure from upinzani
4. Watanifanya nini (hii ndiyo gist of her stance)
 
Asamehewe tu hajui alitendalo
Acha chuki, huyo mfariji kamfariji nani? Mzee kibao kuuawq na wengine kupotezwa na utekaji kwako sio kitu alipaswa kufanya? Mbona IGP, DCI wako kwenye nafasi zao? Hiyo faraja ni ipi? So unaona akiondolewa Chalamila ndio itakuwa faraja kwako?
 
Wala siyo wivu maneno Yake Yana adhari kubwa sana kwenye sekta ya afya, Sasa itaonekana kutoa pesa ili upate huduma hata zile huduma za Bure za mama na mtoto ni jambo la kawaida. Ila kwa kuwa nchi hii wajinga wengi kama wewe mnaona ni sawa tu bila kujua Kuna watu hawana hata Elfu moja ya kula.
Yaani huna elfu moja ya kula halafu unataka uzae ili upate huduma bure? Je baada ya hiyo huduma ya bure huyo mtoto ataishije. Hivi akili yako inafikiria vizuri kweli?
 
Hakuna mtu ambae anaishi vizuri kipindi hiki kama mganga wa Chalamila. Hata akiagizia machozi ya samaki, Chala Boy atatoa pesa yakanunuliwe.

Siku mbili hizi kwa mganga hakuliki mboga za majani. Ni mwendo wa vyuku na mbuzi tu.
 
Mama Samia nampa pole sana maana kila kukicha anaambiwa na raia wake fukuza huyu fukuza huyu fulani fulani atafukuza wangapi, mmekaa mnasubiri mtu ajikwae tu mpate pa kusema
 
Ebu changieni huduma za afya.. miezi 9 yote unashindwaje kusave elfu 50? Mnapenda sana kubembelezwa
Waambie maana wanajisahau sana, nimefanya kazi salaries mtu anakuja jasho linamtoka kuomba mkopo mke kajifungua ghafla ila miezi imekamilika, hiyo ni ghafla kweli na tarehe hiyo hiyo ya makadirio kajifungua, mtampa tu maana hatoki ofisini hadi kero, wakiambiwa ukweli wanakasirika
 
Back
Top Bottom