Hakuna sababu zezote zile kwa mmawajawazito kuenda kuzalia kwa muhospital zaidi ya PESA.
Huu ujinga wa kutaka wajawazito kwenda kuzalia hospitali inachukua rasilimali za Familia za Watu bure tyu. Ina watia watu umasikini tyu.
Yaani, pamoja na kuuziwa maneno mazuri, kana vile, utapata Usafi(mazingira mazuri), wataokoa Maisha, wata kupa Dawa za Uchungu yote hayo hayana maana yeyote yale bali ni mbinu ya kukuchanganya uende Hospitali kuwachangia wenye hela.
Unauliza wenye hela ni nani? Wote wanaouza Vifaa vya Hospitali, Wote wanaotengeneza madawa:-wenye hela.
Nimetafakari sana hayo Juu, hasa kuhusu mwanzo wa unyanyaji wa mabebebru, (capital flight included). Yaani mtoto wa anazaliwa Afrika, wanaotajirika ni wale wa Nchi zanje? Shirikisha ubongo kidogo
Gharama, Gharama, Gharama=Pesa and if you follow the money utaishia katika mabara haya Asia, Ulaya na Amerika.
###########&&#########
NIseme, sikubaliani na matamshi ya you know who, kwani yanachangia kuuza bidhaa tu. Ni marketing strategy tyu. Hata hivyo sidhani kama yanadondokea kwenye udhalilishaji kama tunaouonanhumu JF. Tuache Unafiki