Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ni kweli Samsung haja fanya vizuri toka s8, ila s21 imevunja record nyingi za mauzo na ndio Sababu ya Samsung kupost Mapato na Faida kubwa.Fuatilia record za mauzo ya simu za Samsung Kwa miaka mitatu minne iliyopita. Angalia ni wapi wanauza zaidi . Pia nenda most sold flagship Samsung humkuti au ni kwa tabu sana . Ndo maana nikasema soko lao kubwa limebaki kwenye simu za kawaida .
Sijaongelea mambo ya Faida maana kama ni Faida Apple hana mpinzani Kwa hiyo tusiguse huko .
Pia Bei za Midrange za Samsung kama A50, A70 na A80 series ni premium hazina tofauti na IPhone 11, iPhone Se etc ambazo ndio zinaongoza kwa mauzo. Hivyo ni strategy yao pia. Ukiangalia simu kama A52 wameipa vitu vingi ambayo ni exclusive kwa flagship kama Optical image Stabilization, Water resistant, 4 years updates etc.