Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

Fuatilia record za mauzo ya simu za Samsung Kwa miaka mitatu minne iliyopita. Angalia ni wapi wanauza zaidi . Pia nenda most sold flagship Samsung humkuti au ni kwa tabu sana . Ndo maana nikasema soko lao kubwa limebaki kwenye simu za kawaida .

Sijaongelea mambo ya Faida maana kama ni Faida Apple hana mpinzani Kwa hiyo tusiguse huko .
Ni kweli Samsung haja fanya vizuri toka s8, ila s21 imevunja record nyingi za mauzo na ndio Sababu ya Samsung kupost Mapato na Faida kubwa.

Pia Bei za Midrange za Samsung kama A50, A70 na A80 series ni premium hazina tofauti na IPhone 11, iPhone Se etc ambazo ndio zinaongoza kwa mauzo. Hivyo ni strategy yao pia. Ukiangalia simu kama A52 wameipa vitu vingi ambayo ni exclusive kwa flagship kama Optical image Stabilization, Water resistant, 4 years updates etc.
 
Sasa ulibisha nini mkuu ? Samsung wana realise sehem kuliko na soko lao , premium devices huko si kwao tena Kwa hiyo kuwekeza kwenye simu zenye mediatek ndo mpango na huko wanajua wanapambana na Mchina kwa sababu ya brand yao ile technical wise A series ni moja ya simu inferior tena sana, they look good on paper ila ukiitumia ukalinganisha ndo utajua. Pia its much better waendee kupiga tender za Apple maana zinawalipa sana.

Hili suala nilishawahi kuwaambia pia upande wa tablets ila kama kawaida yenu mkaleta kelele za unazi, sasa mnajionea kinachotokea

Wakati Apple anaenda na M1 chip wao ndo kwanza wanakimbizana na mediatek (pata big picture hapa) Yan wanajua wanachokifanya na wanajua wapi patawabakiza sokoni Kwa sasa
 
Umeona leak ya Soc ya samsung, almost mara 2 ya Nguvu ya A14, itakuwa na Radeon graphics za Amd.

M1 tablet sema tu ukweli kwenye iPad kitu gani kinahitaji M1? Angalau zingekuwa zinarun Mac os, Tab S7 plus ni Nzuri sana na mambo mengi zinafanya vizuri kuliko iPad. Na kilichookoa iPad ni hii Corona ila mauzo tayari yalikua yanapungua kwa kasi.

Kuhusu premium kama Samsung anaondoka hio s21 a nanunua nani sasa? Sehemu zote US, UK, kwao Korea etc kuna report za kuvunja record ya mauzo na hata hii Q1 samsung by far ameuza simu nyingi bado unaamini samsung anaondoka premium market?
 
Dimensity ni jina tu kama unavyo sema Galaxy, camon, redmi etc. Ni series mpya ya soc za mediatek ambazo nyingi zina 5G na processor zenye nguvu.

Zipo Dimensity 700 series, 800, 1000, 1200 etc.
unazungumziaje redmi note 10 5G, naona ina dimensity 700, na nilihofia sana maana leo AE inauzwa 391
 
Umeona leak ya Soc ya samsung, almost mara 2 ya Nguvu ya A14, itakuwa na Radeon graphics za Amd.

M1 tablet sema tu ukweli kwenye iPad kitu gani kinahitaji M1? Angalau zingekuwa zinarun Mac os, Tab S7 plus ni Nzuri sana na mambo mengi zinafanya vizuri kuliko iPad. Na kilichookoa iPad ni hii Corona ila mauzo tayari yalikua yanapungua kwa kasi.

Kuhusu premium kama Samsung anaondoka hio s21 a nanunua nani sasa? Sehemu zote US, UK, kwao Korea etc kuna report za kuvunja record ya mauzo na hata hii Q1 samsung by far ameuza simu nyingi bado unaamini samsung anaondoka premium market?

A14 tayari ipo na inafanya kazi we unaleta story za ku leak , hauko serious . Hii hapa ni sehem ya hiyo link uliyoleta wao wenyewe hawana uhakika na wanachoandika. Soon M1 inaenda kukaa kwenye simu maana sasa ipo kwenye iPad .
IMG_4274.jpg
 
View attachment 1769322
Si ndio maana nikasema ni leak? Of course inaweza isiwe sahihi.

Na kama ni kweli Apple hana uwezo wa kuongeza nguvu ya A14 kwa asilimia 100% itachukua matoleo matatu mpaka manne.

Na nguvu ya Amd na Nvidia si Graphics tu, Bali na software za graphics, drivers za hawa jamaa zipo vizuri zaidi.

Mali na poweVr za simu zote kasoro zenye Adreno (Snapdragon), Zina matatizo ya drivers hasa open Gl, unakuta Gpu ina benchmarks kuuubwa ila ukija kwenye games hazina fps za kutosha. Zikija Gpu za Amd kwenye simu yatakua mapinduzi makubwa sana.
 
Tangu di ji ko atoke. Kuwa. Head wa mobile division sim zinazo tengenezwa chini ya boss mpya n low end
Imagne flagship in plastic material kibao
Kwa socs samsung walinhia mkataba na mediatek Xo nilitegemea kuliona hili
I the worst case socs Za mediatek zinazofungwa kwenye samsung asee bora Za infinix
 
Mkuu Jibu rahisi ni kwamba samsung hatengenezi low end mwenyewe, Anaetengeneza simu za Xiaomi na Samsung ni kampuni moja huko China inaitwa Wing tech, zinatengenezwa Kisha zinapigwa tu label hii Samsung hii Xiaomi.

Hivyo ni vyema kuangalia kwa umakini specs kabla hujanunua.

Kuhusu mediatek zipo nzuri, kuna Helio G series na dimensity series wana soc za maana humo, ila vipo vimeo pia P series kama hio A12 inatumia soc za Jamii ya kina Tecno.
Mkuu kuna hii simu Nokia G 20 ina chipset hiyo hapo chini bei TZS 480 kwa hiyo bei ni nzuri? maana nataka simu ambayo inakamata network vizuri sana maana huku ninanpoishi network mtihani kwelikweli yaan natumia tecno cammon but sometime network sizipati kabisaa. Kifupi nataka smart phone ambayo inakamata network vizuri kwa bajeti ya TZS 300,000-500,000
ChipsetMediaTek MT6765G Helio G35 (12 nm)
 
Hio Chipset ni kimeo mkuu hasa kwa hio budget.

Umetest mitandao yote network ni mbovu? Hasa voda na Halotel? Tena voda weka Roaming on.

Kuhusu simu data zipo chache sana hasa kwa Lowend kwenye reception, ila in General simu ya platic, yenye soc ya Snapdragon na Antena za kutosha itakua na reception nzuri.

Ila unaweza weka app ukaangalia signal strength mwenyewe, ya kwako, ndugu jamaa na marafiki unaweza pata idea simu zinazokuzunguka ipi ina Signal nzuri.
 
Vilevile kuna hii Nokia C30 ina chipset ya inauzwa TZS
ChipsetUnisoc SC9863A (28nm)

Thanks mkuu kuna simu hizii
1.nokia 30 ina Unisoc SC9863A (28nm) ni simu ya mwaka 2021 bei TZS 480,000

2.Xiomi red note 11 ina Qualcomm SM6225 Snapdragon 680 4G (6 nm) bei TZS 460,000 simu ya mwaka huu

3. nokia 5.4 ina Qualcomm SM6115 Snapdragon 662 (11 nm) TZS 460,000 ni simu ya 2020

4. nokia 3.4 ina Qualcomm SM4250 Snapdragon 460 (11 nm) TZS 375,000 simu ya 2020

Je katika hizi 4 mkuu zipi zinafaa interms of kupata simu yenye kukamata network vizuri binafsi napenda sana nokia. Hapa nilipo angalau tigo inashika but zaman wakati hii tecno cmmon ni mpya halotel (ambayo ndiyo line yangu inayojulikana na wengi ilikuwa inakamata vizuri lakini kadiri muda unavyokwenda ndivyo network strength inazidi kupungua na sasa muda mwingi inakuwa inapotea kabisaaaaa.
 
Kati ya Hizo mkuu ni Redmi note 11 ama Nokia 3.4, sema hio 3.4 inauzwa laki 3 Tigo.

Mimi pia Napenda Nokia mkuu ila Nokia za sasa Hazitengenezwi Na Nokia wenyewe wameuza Tu Jina, hivyo usiwe na Expectation kubwa.

Huna marafiki mkuu ucheki Halotel kwao ipoje? Maana inaweza kuwa ni tatizo la mtandao
 
Ok shukran sana mkuu
 
Fuatilia record za mauzo ya simu za Samsung Kwa miaka mitatu minne iliyopita. Angalia ni wapi wanauza zaidi . Pia nenda most sold flagship Samsung humkuti au ni kwa tabu sana . Ndo maana nikasema soko lao kubwa limebaki kwenye simu za kawaida .

Sijaongelea mambo ya Faida maana kama ni Faida Apple hana mpinzani Kwa hiyo tusiguse huko .
Eneo pekee Samsung amekuwa akifanya vizuri ni kwenye vioo vya simu. Lakini kwenye maeneno mengi IPhone inafanya vizuri zaidi. IOS ni the best in terms of performance na optimization of resources. Kwa mfano battery ya iphone 13 Pro max ni 4000 mhA ila inakaa na charge muda mrefu kuliko S22 ultra yenye battery ya 5000 mhA.

Ukipiga picha mara moja tu kwenye iphone utapata picha unayoitaka. Kwa Samsung inabidi inabidi upige shots angalau tatu ndo utapata picha unayoitaka.

Insta live, Facebook stories na kwenye social media zote iphone inatoa picha zenye quality nzuri ila utaishangaa Samsung inavyoshindwa kucupture videos live kwenye social media.

Mambo ya kueleza ni mengi
 
Simu gani ya Apple ni inferior ? Apple hawatengenezi junk phones hata yawe matoleo 100 .
Budget phone nyingi ni mbovu. A 12- A33 bado zinapata shida kushindana na simu za xiaomi
 
Back
Top Bottom