Kwanini Samwel Eto'o amepewa sana heshima AFCON

Kwanini Samwel Eto'o amepewa sana heshima AFCON

Halafu ulaya Etoo anaheshima kubwa kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kutokea Africa ametamba sanaaaaaa
unamjua George Weah ? Bruce Grobbelaar Je ?
Na tukiongelea African born Players.., Eusebio, Viera, Marcel Desailly n.k. to name just a few....., Mkuu kusifika Europe ni kwa uliyoyafanya Europe na Africa being a continent hata kina Lucas Ladebe na Tony Yeboah ni Household Names....
 
Ulimwengu wa soka unamtambua vyema kabisa. Si Africa pekee bali hata Ulaya wanaelewa shughuli yake.
 
Si kweli Best player alikuwa ni Rigobert Song (2002) na Lauren (2000) Mboma hajawahi,
Na sidhani Kama Kuna Mtu mwenye akili timamu anayeweza kumfananisha Etoo na Mboma, Mboma kawika muda mfupi tu na kupotea Kama wachezaji wengine wa Kia Africa, Etoo amekaa Top level kwa muda mrefu Sana,
1996 Etoo anaanza career Real Madrid na 2015 Anaondoka Everton, Miaka 20 ya Top level Akicheza Timu Kama Madrid, Barcelona, Inter Milan, Chelsea, etc akibeba makombe kibao Kama Champions league 3 na Makombe ya ligi ya kutosha.
Hata kwenye Afcon 2006 na 2008 zote Top scorers ni yeye na Hata hizo 2000 na 2002 akiwa Kama kinda pia alitupia Goli za kutosha, 2000 alitupia Goli 4.
Amefunga michuano 6 Tofauti Tofauti ya Afcon, ni Yeye, Gyan na Kalusha Bwalya pekee wenye Rekodi hii. Ndio top Goalscorers of All Time na Magoli 18,
Uko Sahihi Mkuu. Hasa hapo kwenye akili timamu.
 
unamjua George Weah ? Bruce Grobbelaar Je ?
Na tukiongelea African born Players.., Eusebio, Viera, Marcel Desailly n.k. to name just a few....., Mkuu kusifika Europe ni kwa uliyoyafanya Europe na Africa being a continent hata kina Lucas Ladebe na Tony Yeboah ni Household Names....

Mkuu hawa ni watu wa ajabu kabisa, ila usishangae sana most of them ni wameanza tizama football in last 15 years.
 
Ok uko sawa endelea kuamini unachoamini which is against the reality. Dawa ya mpumbavu ni kumuignore.

naona bado unareply msg. Hujalazimishwa kuamini ninachokiamini mimi.
 
Back
Top Bottom