Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
unamjua George Weah ? Bruce Grobbelaar Je ?Halafu ulaya Etoo anaheshima kubwa kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kutokea Africa ametamba sanaaaaaa
Na tukiongelea African born Players.., Eusebio, Viera, Marcel Desailly n.k. to name just a few....., Mkuu kusifika Europe ni kwa uliyoyafanya Europe na Africa being a continent hata kina Lucas Ladebe na Tony Yeboah ni Household Names....