Tunatoa huduma zote za Kinywa na meno ikiwepoAsanteMtoa mada,
Ni huduma gani za meno zingine mnafanya?
Asante sanaTunatoa huduma zote za Kinywa na meno ikiwepo
1. Ushauri & Elimu juu ya Afya Kinywa na meno
2.matibabu ya mzizi wa jino ( Root Canal Treatment)
3.Huduma za Kuziba Meno Yaliyotoboka/Kuoza/kuvunjika
4.Kusafisha Meno
5. Kung'arisha meno
6. Kupanga meno (Braces ) pia kwa kutumia Vifaa vingine
7.Urembo wa Meno
8. huduma Ya Meno Bandia ya aina zote
9. Kuondoa Jino Lililoharibika Sana
Karibu , Kwa huduma na Ushauri 🦷✅