MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Nilitegemea kwa yale mabilioni yaliyomwagwa kwa ajili ya ukarabati wa uwanja wa Mkapa pamoja na kuufungia usitumike mpaka sasa japo pamoja na marekebisho madogo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, vyoo, taa n.k Lakini mbona bado quality yake haifiki level ya viwanja vingine vikubwa tunavyoviona kwenye video?? Shida iko wapi?? Kwanini hauvutii? Kwa marekebisho yaliyofanyika mpaka sasa sidhani kama yanazidi 400 mil. Je hizo pesa zingine ziko wapi? Pitch haivutii, screen zipo tu lakini hazioperate, screen kubwa pale juu kazi yake kuonyesha tu score! Viti havina mvuto n.k
Wahusika mtueleze shida iko wapi?
Hizi ndizo Pitch za Mkapa 👇👇👇
Wahusika mtueleze shida iko wapi?
Hizi ndizo Pitch za Mkapa 👇👇👇