The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Vyoo ni vichafu sana, jana nimeenda mavi nje nje, kwa kifupi watueleze hizo pesa zimeenda wapi.Acha uchawa wa kijinga, tuelezee wewe kipi kilichofanyika hapo uwanjani kwa gharama ile iliyotajwa? Kwanini screen za matangazo hazioperate? Kwanini hakuna big screen? Kwanini pitch bado mbovu? Umepita muda gani tangu uwanja ufungwe? Utakuja kusema wamefunga taa, wifi ya bure ambayo hata haipo kwa sasa!, kurekebisha vyoo na vyumba vya kubadilishia nguo. Kwa hiyo muda wote huo hicho tu ndicho kilichofanyika?? Hapo utaambiwa imeshatumika bilioni 27, na ulivyo chawa zwazwa utasema sawa 😄😄😄