Kwanini screen za matangazo uwanja wa Mkapa hazifanyi kazi?

Vyoo ni vichafu sana, jana nimeenda mavi nje nje, kwa kifupi watueleze hizo pesa zimeenda wapi.
 
Billboards za pembezoni mwa uwanja hazi animate, ziko static sasa kuna haja gani kuweka LCDS za gharama kubwa alafu hazifutii Audience.
Ujinga mtupu
 
Taifa la wezi
 
Na wifi bado inafanya kazi??
 
Na wifi bado inafanya kazi??
WiFi waliziegesha tu.

Zilifanya kazi dakika 2 baada ya hapo zilikuwa kama pambo.

Na hiyo ilikuwa siku ya ufunguzi wa AFL. Siku zikizofuata hata hazikuwashwa tena
 
uwanja bado haujamalizika kutengenezwa hebu acha uongo,wewe sio injinia unajua nini kinafanyika hapo uwanjani,kama umeshiba maharage bora ujambe
kwahyo ww ndio injinia mpka ujue kwamba bado haujakamilika au ndio nyani haoni kundule
 
uko sahihi
 
Iko wazi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…