Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Ana post ujinga gani? Ww kama humpendi wenzako wanampendajuzi tu nilikua nabishana na ndugu zangu wanampenda mno cr7 na wanadai ndio ana followers wengi duniani nikawafungulia simu na kuwaonyesha followers alionao selena walibaki kushika kichwa wenyewe.....
na ndie mtu wa kwanza duniani kufikisha followers 100 halafu anaposti ujinga tu
Wakuu,
Mimi naombeni mnitoe ushamba, kwanini huyu bibie amekua na wafuasi wengi Instagram kuliko watu wengine maarufu zaidi yake.
Ana nini special kuliko wenzake.
juzi tu nilikua nabishana na ndugu zangu wanampenda mno cr7 na wanadai ndio ana followers wengi duniani nikawafungulia simu na kuwaonyesha followers alionao selena walibaki kushika kichwa wenyewe.....
na ndie mtu wa kwanza duniani kufikisha followers 100 halafu anaposti ujinga tu