Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Wakuu,

Mimi naombeni mnitoe ushamba, kwanini huyu bibie amekua na wafuasi wengi Instagram kuliko watu wengine maarufu zaidi yake.

Ana nini special kuliko wenzake.
 
juzi tu nilikua nabishana na ndugu zangu wanampenda mno cr7 na wanadai ndio ana followers wengi duniani nikawafungulia simu na kuwaonyesha followers alionao selena walibaki kushika kichwa wenyewe.....
na ndie mtu wa kwanza duniani kufikisha followers 100 halafu anaposti ujinga tu
 
Au katy perry kuwa na followers wengi tweeter
 
Ana nyota ya Bujibuji ndiyo inamfanya awe na followers wengi.
Selena Marie Gomez (born July 22, 1992) is an American singer and actress. After appearing on the children's television series Barney & Friends , she received wider recognition for her portrayal of Alex Russo on the
Disney Channel television series
Wizards of Waverly Place , which aired for four seasons from 2007 until 2012.
 
picha umesahu kibundi ghetto tuone hao followers walivyo kwenye hiyo instagram yake
 
juzi tu nilikua nabishana na ndugu zangu wanampenda mno cr7 na wanadai ndio ana followers wengi duniani nikawafungulia simu na kuwaonyesha followers alionao selena walibaki kushika kichwa wenyewe.....
na ndie mtu wa kwanza duniani kufikisha followers 100 halafu anaposti ujinga tu
Ana post ujinga gani? Ww kama humpendi wenzako wanampenda
 
Hata wewe ukiwa unapost ujinga ujinga mwingi lazima utapata followers wakumwaga tu ...Kim kadarshian alianza kuupata umaarufu wake baada ya kuvujisha sex tape "" aliyokuwa akingonoka "" na Ray J ""....wakati huo Raj J alikuwa ni star mara 10 ya Kim " lakini sasa hivi sidhani kama RAY J huwa anaipata hata salamu ya Kim ""...... systeam ya maisha ya mwanadamu jinsi ilivyowekwa huwa tunapenda kusikia na kufuatilia habari mbaya tu "" ..... jana wachina wametoka kukamilisha vyema kabisa " kufanya project yao ya kilimo cha mpunga jangwani "" lakini hii habari wala haijapewa " nafasi kubwa kwenye media "......so subiri rihana akae uchi ampige busu " mtoto wa trump"au magaidi walipue bomu ufaransa ""

ndio utaujua vyema huu ulimwengu ""....
 
juzi tu nilikua nabishana na ndugu zangu wanampenda mno cr7 na wanadai ndio ana followers wengi duniani nikawafungulia simu na kuwaonyesha followers alionao selena walibaki kushika kichwa wenyewe.....
na ndie mtu wa kwanza duniani kufikisha followers 100 halafu anaposti ujinga tu
Facebook
 
Back
Top Bottom