Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Mkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sana
 
Wakuu,

Mimi naombeni mnitoe ushamba, kwanini huyu bibie amekua na wafuasi wengi Instagram kuliko watu wengine maarufu zaidi yake.

Ana nini special kuliko wenzake.
Ana wafuasi wengi watoto pia. Mfano marekani sidhani kama kuna mtoto asiyempenda. Especially kutokana na umaarufu wake kwenye Disney channels na movies za watoto kama Barney and friends.
 
Mkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sana

Nyie wote bado sana mie sasa Kina ALTER BRIDGE, MASTODOON, AWOLNATION, KORN, FIVE FINGERS DEATH PUNCH, BLACK WOLF ndio makitu yangu hayo
 
followers wake ni sawa na Tanzania nzima tumfollow then kenya nzima wamfollow then zanzibar nzima wamfollow
 
Word up
 
Mkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sana
OMG!! I love Ellie,[emoji11][emoji11] nina her songs kwenye playlist yangu.... The Writer, I know you care, This is your song, etc.

Miley simkubali kabisa yaan, Sia yeah yeah,
Perry nipo inlove na videos zake.
 
Mkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sana
Ngosha izo makitu achia wanaume unatuabisha kwa kweli, mimi hao ndio nawasikia leo ujue
 
Ngosha izo makitu achia wanaume unatuabisha kwa kweli, mimi hao ndio nawasikia leo ujue
Hahahahaha Mkuu napenda sana Pop kuna mshkaji wangu ameamua kumpa mtoto wake wa kike jina la Ariana anamkubali sana Ariana Grande..

Ngosha hawa nimeanza nao zamani sana, kuna goma la Karty perry 'Dark Horse' noma sana ukiipiga kwenye subwoofer kile kibanda chako cha vyuma viwili na sebule lazima kidondoke
 
OMG!! I love Ellie,[emoji11][emoji11] nina her songs kwenye playlist yangu.... The Writer, I know you care, This is your song, etc.

Miley simkubali kabisa yaan, Sia yeah yeah,
Perry nipo inlove na videos zake.

Ellie ni noma sana kuna goma lake la 'Hanging on' enzo hizo nilikuwa na-dance (shake) na hilo song... That Song ni hatari sana..

usimsahau Carl Rae Japanes
 
Nyie wote bado sana mie sasa Kina ALTER BRIDGE, MASTODOON, AWOLNATION, KORN, FIVE FINGERS DEATH PUNCH, BLACK WOLF ndio makitu yangu hayo
mkuu ila wewe ni munoma sana
 
Kuongezea kutoka kwenye list yako..mimi kwa sasa nawasikiliza sana dua lipa,camilla cabello,bebe rexha,annie marrie..ama kwa hakika naenjoy ngoma zao
 
OMG!! I love Ellie,[emoji11][emoji11] nina her songs kwenye playlist yangu.... The Writer, I know you care, This is your song, etc.

Miley simkubali kabisa yaan, Sia yeah yeah,
Perry nipo inlove na videos zake.
Huyo Miley Cyrus ile Album yake ya Bangerz hakuna wimbo huwa nauskip... album nzima ilishiba. Ila hii album ya "Younger Now" kibao kilichofanya poa ni "Malibu" tu...
 
Kuongezea kutoka kwenye list yako..mimi kwa sasa nawasikiliza sana dua lipa,camilla cabello,bebe rexha,annie marrie..ama kwa hakika naenjoy ngoma zao
Aisee Bebe Rexha ananikosha sana [emoji1] Nimemfollow fb.. kila siku lazima nimuone ndo nafsi inafarijika, I got U na The Way I are (I wanna dance somebody) aloimba na lil wayne zinanimaliza kabisa... ana album inaitwa Expectations sijui kashairelease...

Dua Lipa hiyo sauti yake ya base hatari tupu... kuna ile ngoma ya Martin Garrix Scared to be lonely mle kaua sana...

Huyo Camilla Cabelo toka yupo Fifth Harmorny moto wake ulikuwa hatari, kundi mpaka limetetereka baada ya kuondoka yeye...

Kuna wadada pia wanajiita Little Mix wako poa sana, hii Album yao ya Glory Days hakuna ngoma mbovu hata moja kuanzia Touch, power, shout out to my ex mpaka No more sad song...

Pop tamu aisee.. ambao hawasikilizi naona wanakosa vingi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…