Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Teh teh tehNahisi mleta mada ndiyo Selena Gomez mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehNahisi mleta mada ndiyo Selena Gomez mwenyewe
Mkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sanaKweli mkuu mi huwa nasikiliza ngoma za akina Katy, Taylor, Avril Lavigne, Miley Cyrus, Demi Lovato, Jessie J, Kelly Clarkson, Meghan Trainor, Arian, Kesha, Sia na akina Ellie Goudling.... kila mtu huwa ananishangaa. Kuna jamaa akanambia yan mimi nasikiliza nyimbo ambazo hazipigwi kokote kule...
Ila kiukweli hawa watu wanajua, nyimbo zao tamu sana... mimi kwenye Pop hata hunitoi.. nikikuta mtu anapenda pop anakuwa kama ndugu yangu!!
Ana wafuasi wengi watoto pia. Mfano marekani sidhani kama kuna mtoto asiyempenda. Especially kutokana na umaarufu wake kwenye Disney channels na movies za watoto kama Barney and friends.Wakuu,
Mimi naombeni mnitoe ushamba, kwanini huyu bibie amekua na wafuasi wengi Instagram kuliko watu wengine maarufu zaidi yake.
Ana nini special kuliko wenzake.
Mkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sana
Mmmhhh!Nyie wote bado sana mie sasa Kina ALTER BRIDGE, MASTODOON, AWOLNATION, KORN, FIVE FINGERS DEATH PUNCH, BLACK WOLF ndio makitu yangu hayo
kwasababu wewe katika maisha haya ni follower tu
Word upKuwa na followers wengi instagram haimanishi wewe ni maarufu
Shilole ana followers 3M
Busta Rhymes ana followers 800K ina maana shilole ni maarufu kuliko Busta Rhymes..?
JPM ana followers 16K
Adam Mchomvu ana followers 1M
Ina Maana mchomvu ni maarufu kuliko JPM..?
OMG!! I love Ellie,[emoji11][emoji11] nina her songs kwenye playlist yangu.... The Writer, I know you care, This is your song, etc.Mkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sana
Ngosha izo makitu achia wanaume unatuabisha kwa kweli, mimi hao ndio nawasikia leo ujueMkuu mimi hunitoi kwa Ellie Goudling ana ngoma zake kama light na hanging on nazikubali sana, pia Miley Cryus, Ariana, Perry, Jesse J na Kesha na Sia nawaelewa sana
Hahahahaha Mkuu napenda sana Pop kuna mshkaji wangu ameamua kumpa mtoto wake wa kike jina la Ariana anamkubali sana Ariana Grande..Ngosha izo makitu achia wanaume unatuabisha kwa kweli, mimi hao ndio nawasikia leo ujue
OMG!! I love Ellie,[emoji11][emoji11] nina her songs kwenye playlist yangu.... The Writer, I know you care, This is your song, etc.
Miley simkubali kabisa yaan, Sia yeah yeah,
Perry nipo inlove na videos zake.
mkuu ila wewe ni munoma sanaNyie wote bado sana mie sasa Kina ALTER BRIDGE, MASTODOON, AWOLNATION, KORN, FIVE FINGERS DEATH PUNCH, BLACK WOLF ndio makitu yangu hayo
Kuongezea kutoka kwenye list yako..mimi kwa sasa nawasikiliza sana dua lipa,camilla cabello,bebe rexha,annie marrie..ama kwa hakika naenjoy ngoma zaoKweli mkuu mi huwa nasikiliza ngoma za akina Katy, Taylor, Avril Lavigne, Miley Cyrus, Demi Lovato, Jessie J, Kelly Clarkson, Meghan Trainor, Arian, Kesha, Sia na akina Ellie Goudling.... kila mtu huwa ananishangaa. Kuna jamaa akanambia yan mimi nasikiliza nyimbo ambazo hazipigwi kokote kule...
Ila kiukweli hawa watu wanajua, nyimbo zao tamu sana... mimi kwenye Pop hata hunitoi.. nikikuta mtu anapenda pop anakuwa kama ndugu yangu!!
Huyo Miley Cyrus ile Album yake ya Bangerz hakuna wimbo huwa nauskip... album nzima ilishiba. Ila hii album ya "Younger Now" kibao kilichofanya poa ni "Malibu" tu...OMG!! I love Ellie,[emoji11][emoji11] nina her songs kwenye playlist yangu.... The Writer, I know you care, This is your song, etc.
Miley simkubali kabisa yaan, Sia yeah yeah,
Perry nipo inlove na videos zake.
Aisee Bebe Rexha ananikosha sana [emoji1] Nimemfollow fb.. kila siku lazima nimuone ndo nafsi inafarijika, I got U na The Way I are (I wanna dance somebody) aloimba na lil wayne zinanimaliza kabisa... ana album inaitwa Expectations sijui kashairelease...Kuongezea kutoka kwenye list yako..mimi kwa sasa nawasikiliza sana dua lipa,camilla cabello,bebe rexha,annie marrie..ama kwa hakika naenjoy ngoma zao