Kwanini Separatist wa muungano hawanyongwi?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Tumekuwa na watu wanaotumiwa kwa manufaa ya kundi fulani kuuvunja au kuuharibu muungano na serikali imeshindwa kabisa kupambana nao Hii inaonesha udhaifu wa serikali na kufa kwa serikali au chama tawala.

Huwezi unganisha nchi afu usitegemee kuwepo na maaduni (kila watu huwa na maslahi binafsi)
Kama ilivo huwa naturally kuna watu watataka mkoa fulani ujitenge bas na muungano ni hivo hivo.

Kufa kwa Soviet, Ethiopia, Sudan,
Marekani ingekuwa dhaifu kusingekua na muungano.

Tuadapt sera ya china . Nyonga wote wanaojifanya wanapigania waafrica kutengana wanatumiwa na watu wa nje.
 
wakishadhibitiwa tayari kunakua hakuna haja ya kuwanyonga tena πŸ’

mara nyingi ni hatia na sheria ndivyo vinavyoamua mtu anyongweπŸ’

lakini utashi na ujasiri wa mwenye mamlaka ya kuamuru tendo la kunyonga lifanyike huwa ni mtihani ambao wengi wameshindwa kufauluπŸ’

mara zote wote wamepata zero kulingana na Imani zao na hofu ya Mungu dhidi ya uhai wa binadamu wenzao πŸ’
 
Kwanini ulazimishe watu kuwa kwenye muungano ambao watu hawaoni manufaa?
Si kweli kua nalazimisha ni ivi
Kila nchi huwa na adui (Anaetaka imeguke)
Kila muungano huwa na maadui vile vile (wanaotaka usambaratike kwa maslahi fulan)

Sidhan mwananchi wa kawaida kama anaweza hangaika na muungano
 
Pumbavu kabisa. Huo muungano una faida zipi
 
Mbona china wananyonga hutasikia mtu kasema β€œSuuu”
Kifupi mtu hawezi kubali kufa kisa mambo ya siasa labda wenye kichaa cha siasa
 
Si kweli kua nalazimisha ni ivi
Kila nchi huwa na adui (Anaetaka imeguke)
Kila muungano huwa na maadui vile vile (wanaotaka usambaratike kwa maslahi fulan)

Sidhan mwananchi wa kawaida kama anaweza hangaika na muungano
Utakuwa na tatizo kichwani, wewe muungano wa Zanzibar na Bara kama ni mtu wa bara unanufaika na nini?
 
Mbona china wananyonga hutasikia mtu kasema β€œSuuu”
Kifupi mtu hawezi kubali kufa kisa mambo ya siasa labda wenye kichaa cha siasa
nadhani sijui china wanaamini nini πŸ’

but Tz kwenye suala la kunyonga litaendelea kuishia kwenye hatia na hukumu ya kifo pale mahakamani tu πŸ’

utekelezaji utasubiri atoke kiongozi mwenye Imani kama ya wachina πŸ’

Lakini pia nahisi china, mtu akipatikana na hatia na hukumu ikawa kunyongwa basi hakimu akishatoa hukumu mtu yule anaenda moja kwa moja kunyongwa sio tena mpaka mkuu wa nchi atie sahihi πŸ’
 
Ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…