Kwanini Separatist wa muungano hawanyongwi?

Tumekuwa na watu wanaotumiwa kwa manufaa ya kundi fulani kuuvunja au kuuharibu muungano na serikali imeshindwa kabisa kupambana nao Hii inaonesha udhaifu wa serikali na kufa kwa serikali au chama tawala.

Huwezi unganisha nchi afu usitegemee kuwepo na maaduni (kila watu huwa na maslahi binafsi)
Kama ilivo huwa naturally kuna watu watataka mkoa fulani ujitenge bas na muungano ni hivo hivo.

Kufa kwa Soviet, Ethiopia, Sudan,
Marekani ingekuwa dhaifu kusingekua na muungano.

Tuadapt sera ya china . Nyonga wote wanaojifanya wanapigania waafrica kutengana wanatumiwa na watu wa nje.
Itisha kura ya maoni kuhusu muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika tukipata majibu ya asilimia 50 kwa kila upande kuutaka muungano ndiyo tufikirie kuulinda muungano kwa namna unayoitaka. Nchi zinaweza kushirikiana hata bila ya kuungana, mbona watu hawazungumzi kuungana na Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda, Malawi, Mozambique ambao pia kama tungeunga na kuwa nchi moja. Ruhusu mawazo mbadala ili upate kukuwa kifikra. Zanzibar ilikuwa nchi inayojitegemea na yenye havi kimataifa ila baada ya muungano imepoteza kila kitu na kubaki kama mkoa miongoni mwa mikoa ya Tanzania.
 
Ulinganifu wako umekosa Tija
Unazungumzia nchi ambazo hazijawahi kuungana Upo serious??
Unavosema imekosa kila kitu unamaanisha nini??
 
Back
Top Bottom