Kwanini Separatist wa muungano hawanyongwi?

Kwanini Separatist wa muungano hawanyongwi?

Acha ni kusamehe sababu ya tatizo la kiasili ulionalo
Jibu hoja unisamehe we mwenyezi mungu??
Muungano ni wako hadi unisamehe??
We nani mpaka uhisi una haki ya kunisamehe?
Personal mi nina ugomvi gani naww??


Una matatizo ya akili au kuna kingine
 
Jibu hoja unisamehe we mwenyezi mungu??
Muungano ni wako hadi unisamehe??
We nani mpaka uhisi una haki ya kunisamehe?
Personal mi nina ugomvi gani naww??


Una matatizo ya akili au kuna kingine
Sister angu nakuheshimu naomba niishie hapo vinginevyo unachokitafuta utakipata na matokeo yake hayatakuwa mazuri kwako.
 
Tumekuwa na watu wanaotumiwa kwa manufaa ya kundi fulani kuuvunja au kuuharibu muungano na serikali imeshindwa kabisa kupambana nao Hii inaonesha udhaifu wa serikali na kufa kwa serikali au chama tawala.

Huwezi unganisha nchi afu usitegemee kuwepo na maaduni (kila watu huwa na maslahi binafsi)
Kama ilivo huwa naturally kuna watu watataka mkoa fulani ujitenge bas na muungano ni hivo hivo.

Kufa kwa Soviet, Ethiopia, Sudan,
Marekani ingekuwa dhaifu kusingekua na muungano.

Tuadapt sera ya china . Nyonga wote wanaojifanya wanapigania waafrica kutengana wanatumiwa na watu wa nje.
Uhuru zaidi au siyo?
 
Back
Top Bottom