Kwanini Separatist wa muungano hawanyongwi?

Itisha kura ya maoni kuhusu muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika tukipata majibu ya asilimia 50 kwa kila upande kuutaka muungano ndiyo tufikirie kuulinda muungano kwa namna unayoitaka. Nchi zinaweza kushirikiana hata bila ya kuungana, mbona watu hawazungumzi kuungana na Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda, Malawi, Mozambique ambao pia kama tungeunga na kuwa nchi moja. Ruhusu mawazo mbadala ili upate kukuwa kifikra. Zanzibar ilikuwa nchi inayojitegemea na yenye havi kimataifa ila baada ya muungano imepoteza kila kitu na kubaki kama mkoa miongoni mwa mikoa ya Tanzania.
 
Ulinganifu wako umekosa Tija
Unazungumzia nchi ambazo hazijawahi kuungana Upo serious??
Unavosema imekosa kila kitu unamaanisha nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…