Kwanini Serekali inakopa kama inaweza ku-print noti mpya

Kwanini Serekali inakopa kama inaweza ku-print noti mpya

Focus120

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
1,089
Reaction score
793
Habari zenu. Wanauchumi na wadau wengine wote humu ndani..

Naleta mada hii kwa misingi ya kutaka kuelewa, kama nchi inaweza Ku print noti mpya. Kwanini inakopa pesa?

Kwanini ina madeni kama uwezo wa kuyalipa na pesa mpya ipo

Kwa wenye uelewa. Tusaidiane tafadhali.
Mnisaidie concept ya "inflation" pia
Screenshot_20200326-203500~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app

**Update*. .

Asanteni sana wachumi na wadau wote kwa kutoa Elimu.

Nina amini wapo wengi waliojifunza kupitia swali langu la " Kipuuzi" ( kama baadhi walivyo chukulia)

Ila nimejifunza mengi.

Amani iwe Nanyi.

"SANITIZE"..
 
Tanzania haiwezi kuprint pesa

Kuna viwanda vinatengeneza pesa, vip german, usa, uswiz

Pesa za Tanzania zinatengenezwa uswiz, lakini kwa sasa german ndo wana mkataba

Nchi haiwezi amua yenyew kuprint pesa, kwani WB wana policy zao, kuzuia mfumoko wa bei dunian ,yasitokee ya zimbabwe,

Sis hatutengenez tunatoa tenda
na oder za kuprint tena kwa gharama

Hivyo, tunatumia pesa kuprint na kutengeneza pesa zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza,Inashauriwa kiwango cha pesa katika mzunguko wa uchumi kisipishane sana na thamani ya shughuli na bidhaa zilizopo katika uchumi ili kuepusha mfumuko wa bei wenye madhara makubwa.

Pili, Serikali huwa haikopi hela za madafu(shilingi) bali inakopa Dola za Marekani, Euro, Pounds. Hizo ndizo pesa serikali na wafanyabiashara wanabadilisha na hela za madafu na kuweza kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Ukiamua kuchapisha pesa zako mwenyewe kila mara kuna wakati utatumia gunia la shilingi kununua dola ya Marekani ili uweze kuagiza bidhaa nje,na itahitaji uwe na magunia ya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania haiwezi kuprint pesa

Kuna viwanda vinatengeneza pesa, vip german, usa, uswiz

Pesa za Tanzania zinatengenezwa uswiz, lakini kwa sasa german ndo wana mkataba

Nchi haiwezi amua yenyew kuprint pesa, kwani WB wana policy zao, kuzuia mfumoko wa bei dunian ,yasitokee ya zimbabwe,

Sis hatutengenez tunatoa tenda
na oder za kuprint tena kwa gharama

Hivyo, tunatumia pesa kuprint na kutengeneza pesa zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
kamq umeongea kweli nimekuelewa sana. sasa vipi kwa nchi zenye mitambo ya kuprint pesa, inathibitiwa vipi kuwa haitumiinjia za panya kuprint zao kimya kimya

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Kwamba waprint tu kwan shida nn hahah

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Kila nchi inajiamulia yenyewe kiwango cha pesa za kuprint na kampuni za kutengeneza pesa ziko nchi nchi zote zenye teknolojia kubwa ya usalama duniani.
India,China,Japan,Canada,Ufaransa,Russia,South Africa wanaprint pesa zao wenyewe kwenye nchi zao.
World benki haina udhibiti wala usimamizi wowote katika biashara ya kuprint pesa,yenyewe inatoa ushauri tu.
Tanzania haiwezi kuprint pesa

Kuna viwanda vinatengeneza pesa, vip german, usa, uswiz

Pesa za Tanzania zinatengenezwa uswiz, lakini kwa sasa german ndo wana mkataba

Nchi haiwezi amua yenyew kuprint pesa, kwani WB wana policy zao, kuzuia mfumoko wa bei dunian ,yasitokee ya zimbabwe,

Sis hatutengenez tunatoa tenda
na oder za kuprint tena kwa gharama

Hivyo, tunatumia pesa kuprint na kutengeneza pesa zingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mamlaka ya pamoja ya dunia ya kudhibiti uchapishaji wa fedha katika nchi fulani.Ukiprint pesa zako bila kuzingatia kanuni za uchumi una haribu uchumi wako mwenyewe kwa kuifanya pesa yako ishuke thamani dhidi ya fedha za kigeni.Nchi itapata tabu sana kununua bidhaa kutoka nchi za nje.
kamq umeongea kweli nimekuelewa sana. sasa vipi kwa nchi zenye mitambo ya kuprint pesa, inathibitiwa vipi kuwa haitumiinjia za panya kuprint zao kimya kimya

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupa msaada kidgo ti,ila uende ukachimbue zaid:

Serikali yoyote,huwa na central bank yake ambayo inasimamia maswala ya fedha na kuhakikisha mzunguko wa pesa inakuwa vyema.

Katika uchumi,tuna sera kadhaa ambazo zinazungumzia uchumi wa taifa kwa ujumla na uchumi wa mtu mmoja mmoja,yaan aggregate economy and individual economy.

Aggregate demand ndio inahusika na mada yako.
Na hapo utasoma sera tofauto ambazo zinaelezea uchumi wa nchi unavyoendeshwa.

Kwa uchache,kuna sera ya monetary policy,ambayo yenyewe inazungumzia suala la usambazaji wa pesa na interest rate.
Hapa utaona namna ambavyo central banks,inavyopunguza bonds notes,na kuongeza interest rates ili ku control inflation katika taifa.

Naomba niishie hapo ila naomba utafute vitabu vya uchumi usome aggregate demand,macro economics.itakusaidia kukupa elimu zaid.

Siku zijazo nitafundisha somo la uchumi.
Lakin hadi jf watoe fulsa yakuwanyanyua watu wanaotoa mada hapa..atleast rewards,kuliko kupoteza mda bure.
 
Back
Top Bottom