Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah haya ngoja niweke neno. Kusema serikali haichapishi pesa si kweli, serikali huwa inachapisha pesa kama njia moja wapo ya kuwakopa wananchi wake (pesa kama pesa yenyewe ni worthless kama haiwi backed by goods na services zinazozalishwa au zilizopo)Kwani FRANCIS DA DON anasemaje?
Bila shaka ungekuwa mchumi ungetoa jibu, anayejua uchumi hawezi kujibu hivi.Mkuu huna chakufanya mda huu... Jaribu kucheki hata movie basi huku kwenye uchumi tuachie wachumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaweza kuwork kwa nchi yenye dominant currency labda, yaani USA maana kila mtu huitumiakamq umeongea kweli nimekuelewa sana. sasa vipi kwa nchi zenye mitambo ya kuprint pesa, inathibitiwa vipi kuwa haitumiinjia za panya kuprint zao kimya kimya
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Kuchapisha pesa noti kuhudumia mkopo au baadhi ya shughuli kuna sababisha matatizo mengi kuliko suluhisho.Asanteni wachache mliojaribu kumjibu, swali zuri la uelewa ila anajibiwa kihuni.
Kitu ulichoongea hapa ni farsafa kwa mtu mwenye uwelewa wa karibu hawezi kuelewa kabisaaaaa nahisi kama unaitaji kufafanua zaidDaah haya ngoja niweke neno. Kusema serikali haichapishi pesa si kweli, serikali huwa inachapisha pesa kama njia moja wapo ya kuwakopa wananchi wake (pesa kama pesa yenyewe ni worthless kama haiwi backed by goods na services zinazozalishwa au zilizopo), yaani serikali inapokosa fedha lets say ya mishahara, basi inaweza ikachapisha kiasi (limited amount) ili kulipa hiyo mishahara, ila hii inabidi ifanyike kwa kiasi kidogo sana ili kuepusha kushuka kwa thamani ya pesa (over inflation) ambapo utakuta mkate unapanda toka 1,000/= hadi 10,000/= pengine, hivyo pesa inaweza ikakosa thamani katika manunuzi na ikawa sawa na toilet paper tu. Sasa njia nyingine ya kukopa ndio hiyo ya mabenki ya kibiashara, mikopo toka mataifa rafiki na mashirika ya maendeleo kwa masharti/ riba maalum. Na ukitaka kuamini serikali huwa inawakopa wananchi wake kwa kuchapisha pesa jiulize kwanini soda ilikuwa inauzwa 150/= ila leo inauzwa 500/=, means imewakopa wananchi na haijawalipa bado, otherwise soda ilipaswa iuzwe bei ile ile ya 150/=
Mkuu huna chakufanya mda huu... Jaribu kucheki hata movie basi huku kwenye uchumi tuachie wachumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili nimekupata, ila tatizo hujagusia upande wa kukopa, yaani umeongelea madhara ya kuprint tu.Tupe na faida za kukopa tupime mzaniKwa jibu simple ni kuwa
Kama serikali ikiprint hela nyingi na hizi hela zikawekwa kwenye mzunguko basi kuna madhara kadhaa yataukumba uchumi kwa ujumla na uchumi wa mtu mmoja mmoja.
1. Production itaathirika; kila mtu si ana hela bwana nani akajichoshe kufanya kazi
2. Kutokana na saba bu hiyo hapo juu itapelekea supply ya bidhaa sokoni kupungua sana hivyo bei ya bidhaa itapanda maradufu kwasababu demand itakuwa ni kubwa kuliko supply
3. Kutokana na sababu hiyo hapo juu itapelekea kuwa na inflation kubwa sana, hela unayo lakini aikidhi kununua ha mchele kilo moja.
4. Tutegemee mabenki mengi kufilisika; mabenki mengi yanategemea zaidi kutoa loans ili yaweze kujiendesha, nani akakope wakati kila mtu ana hela mtaani.
5. Asset, bonds na stock kupoteza thamani yake; mfano nyumba iliyokuwa inauzwa million 50 kukikwa na hela nyingi mtaani hii nyumba itakuwa inauzwa million 100 wakati hiyo siyo thamani yake halisi.
Hizo ni athari chache sana kati ya nyingine nyingi
Serikali ikikopa maana yake lazima italipa hiyo hela, so hela ya kulipa itatoka kwenye hela ambazo zipo kwenye mzunguko sema itakuwa imeacha faida kidogo kwenye uchumi
Mkuu ina maana hata economics ya form 1 and 2 ilikupita.. Jaribu bas hata kugoogle topic ya supply and demand kuna kitu utajifunza
Haja pita huko sasa,mbona mnakuwa kama mmebahatisha kusoma huko au hamjui?Wala sio demand na supply..
Asome briefly concept ya monetary policy,money supply and interest rate...
Mbona swali lilikuwa wazi sana, je inaprint hela kama mbadala wa kukopa pesa au huwa haiprint? Jaribu kujikita kwenye swaliKwa jibu simple ni kuwa
Kama serikali ikiprint hela nyingi na hizi hela zikawekwa kwenye mzunguko basi kuna madhara kadhaa yataukumba uchumi kwa ujumla na uchumi wa mtu mmoja mmoja.
1. Production itaathirika; kila mtu si ana hela bwana nani akajichoshe kufanya kazi
2. Kutokana na saba bu hiyo hapo juu itapelekea supply ya bidhaa sokoni kupungua sana hivyo bei ya bidhaa itapanda maradufu kwasababu demand itakuwa ni kubwa kuliko supply
3. Kutokana na sababu hiyo hapo juu itapelekea kuwa na inflation kubwa sana, hela unayo lakini aikidhi kununua ha mchele kilo moja.
4. Tutegemee mabenki mengi kufilisika; mabenki mengi yanategemea zaidi kutoa loans ili yaweze kujiendesha, nani akakope wakati kila mtu ana hela mtaani.
5. Asset, bonds na stock kupoteza thamani yake; mfano nyumba iliyokuwa inauzwa million 50 kukikwa na hela nyingi mtaani hii nyumba itakuwa inauzwa million 100 wakati hiyo siyo thamani yake halisi.
Hizo ni athari chache sana kati ya nyingine nyingi
Serikali ikikopa maana yake lazima italipa hiyo hela, so hela ya kulipa itatoka kwenye hela ambazo zipo kwenye mzunguko sema itakuwa imeacha faida kidogo kwenye uchumi
Kuna waziri sijui wa zambia au Zimbabwe, aliamka zake akasema watu wanalia maisha magum hamna pesa, wakaagiza pesa kibao ziwe printed zikaletwa nchini duh ikaharibu uchumi wao completely, kwenye principles of money mojawapo ni it should be scarce, yani pesa isiwe nyingi kwenye mzunguko maana ukiprint mihela mingi currency yako itashuka thamani ndio ka zimbabwe unaenda nunua mkate na bunda la pesa.. it's a very huge aspect this is the real world vitu haviwi solved kirahisi hivyo kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna waziri wa Zambia wala Zimbabwe aliyewahi kusema hivyo,so hio ni chai ya moto ila mengine uliyo yaandika yako sawa.
Mkuu ina maana hata economics ya form 1 and 2 ilikupita.. Jaribu bas hata kugoogle topic ya supply and demand kuna kitu utajifunza
SWALI LA KIJINGA[emoji3]Kwa jibu simple ni kuwa