GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
FACT,huyu anazungumzia mawakili lakini hashangai kwanini watu makini kama wasomi tunowafahamu wakiingia bungeni akili wanaziweka kwenye mifuko kabisa.

Kama hawaamini wamsikilize mzee kimei😁😁
Au Prof Kabudi, Kitila Mkumbo na wengineo hovyo kabisa.

Hebu fikiria Serikali ambayo ndiyo Mlinzi no moja wa Raia wake ndiyo inageuka kuwaumiza, kuwapotezea muda wao Mahakamani. Huku wakifahamu fika kuwa ndio Nguvu kazi ya Taifa.

Hii ni laana lazima ujizime data kutetea uovu huo. Wacha iende iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.
 
Wanaajiri vilaza ili wawatumie kwenye kazi chafu kama hii ya kutunga kesi ya uhaini hewa, mtu mwenye akili za kutosha hawezi akakubali kutumika kiboya kama anavyotumika huyu mpuuzi Nasoro Katuga na jopo la wapumbavu wenzake.
 
Ukifuatilolia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!

Maswali Muhimu ya kujiuliza:

1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?

2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?

3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?

Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Wanataka kufanya kazi na vilaza kwa maslahi yao na wanamtandao na sii raia wa kawaida kaawaida.
 
FACT,huyu anazungumzia mawakili lakini hashangai kwanini watu makini kama wasomi tunowafahamu wakiingia bungeni akili wanaziweka kwenye mifuko kabisa.

Kama hawaamini wamsikilize mzee kimei😁😁
Mtu kama Profesa Kabudi amekuwa mtu wa hovyo yaani hana tofauti na Baba Levo wa darasa la 7B
 
Hili swali linakuhusu learned brother comte kama hujadanja
 
Askari au mwanasheria au yeyote anayefanyia SERIKALI si kwamba ana uwezo mdogo uwa wanafanya makusudi kushindwa kesi , au kesi nyingine uwa ni SERIKALI inalazimisha ziendelee hivo wao wanafanya kutimiza lengo tu !

Nimemkumbuka ndugu yangu Julius Ndyanabo alinipa Siri nyingi (R.I.P)

Britanicca
Hata kama ni kweli lakini yule Mrema wa Leo hana akili. Huhitaji kuwa mwanasheria ili kujua kwamba mwamba hajui.
Kiingereza chake sasa, isingekua jina lake watu wangedhani kwa kiingereza kile kama sio mhutu basi ni mzinza.
 
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!

Maswali Muhimu ya kujiuliza:

1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?

2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?

3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?

Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?

Mawakili wengi wa serikali hawana uwezo mkubwa. Hata huyo Katuga inasemekana ameungaunga tu kufikia hapo. Field kama za Law, Engineering na Science kwa kawaida siyo za kuungaunga. Tanzania wamezipa loophole kubwa kwa wababaishaji.
 
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!

Maswali Muhimu ya kujiuliza:

1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?

2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?

3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?

Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Siyo mawakili tu; wewe jiulize CCM yote kuna mwenye akili???
 
Katuga: Kilichotokea kwenye utofauti kati ya nyaraka alizopewa Lissu na zilizopo mahakamani ni makosa ya kibinadamu (A slip of pen)

Lissu: Tofauti iliyojitokeza inaangukia mwenye makosa ya kughushi with intent to deceive me

Katuga: Kuhairishwa kwa kesi hakukumuathiri vitu kivyovyoye.

Lissu: Kuharishwa kwa kesi kuliniathiri kwa kunifanya niendelee kukaa gerezani tena nikiwa nimechanganywa na wahukumiwa adhabu za kifo kwa miezi mitano

Katuga: Kilichotokea Kisutu kwa hakimu kuhairisha kesi bila kutoa sababu ni jambo la kawaida na mara nyingi imetokea

Lissu: Huwezi kuhararisha uzoefu wako wa kuvunja sheria kuwe ni sheria.

Katuga: Hakimu Kiswaga alikuwa akitumia busara kuhairisha kesi kutokana na maombi yangu

Lissu: Mahakama inaongozwa na sheria pekee na si busara. Mahakama ingehitaji busara majaji wengi wangekosa kazi. Mahakama ndio hupaswa kutoa kwa maandishi sababu ya hairisho. Mahakama ndio huwa na sababu za kuhairisha na sio kwa sababu za Katuga.

Hapa kwa lugha ya kukonyeza gizani Lissu alikuwa mara kwa mara akijifanya amekosea jina la wakili Katuga na kumuita Wakili Kiswaga.

Literally alikuwa akituma ujumbe kuwa Wakili Katuga ndiye alikuwa aki influence maamuzi ya hakimu Kiswaga wa Kisutu😂😂

Wakili wa Serikali Job Mrema, leo aligeuka kuwa HOSTILE WITNESS against republic case kwa kutoa marejeo ya kesi zinazounga mkono hoja za Lissu.

Katuga alikuwa amebaki na kazi ya kusema "Sijasema!"

Hapa Lissu alikuwa anawauliza tu majaji kama waliandika kauli za jana za Katuga

Majaji ili kumfichia aibu Katuga wakawa wanamuambia Lissu aendelee kuchana mbao kama wachana mbao wa Mufindi.

Wale wasiotumia chainsaw bali linachimbwa shimo kuubwa, mmoja anakaa shimoni, mwingine juu wanasukuma msumeno

Hapo wameshakula ndoo moja ya ugali yaani Msuli bedi anaokula Lissu usiku gerezani.

Novena is real!
 
halafu huwa kuna kanyimbo kao.ka kubebea magogo.utaskia kabobe kabobee ka mwishoo... hapo semi inakula magogo kwenda mufindi. a real experience at that time when i came Tanzania last year
 
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!

Maswali Muhimu ya kujiuliza:

1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?

2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?

3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?

Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Mawakili wote wamesoma vyuo vinavyofanana waserikali na wasio waserikali ila kinachowatofautisha sio akili ni mazingira ya kufanya KAZI kuna mmoja yupo huru mwingine amewekewa mipaka
 
. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
Mwenyezi Mungu kawapiga upofu, dadeeeeki
 
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!

Maswali Muhimu ya kujiuliza:

1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?

2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?

3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?

Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Connection
Kujuana
Rushwa
Uchama
 
Askari au mwanasheria au yeyote anayefanyia SERIKALI si kwamba ana uwezo mdogo uwa wanafanya makusudi kushindwa kesi , au kesi nyingine uwa ni SERIKALI inalazimisha ziendelee hivo wao wanafanya kutimiza lengo tu !

Nimemkumbuka ndugu yangu Julius Ndyanabo alinipa Siri nyingi (R.I.P)

Britanicca

Siyo kwamba wana uwezo mdogo.

Kuhukumu uwezo wa mawakili wa Serikali kwa kupima kesi ya Lissu pekee ni kosa la kimantiki linaitwa Hasty Generalization.

Ila uhalisia ni ule aliousema Lissu mwenyewe ya kuwa hawalaumu mawakili wa Serikali kwasababu kesi za uhaini hutokea mara moja kila baada ya Generation mbili hivyo ni ngumu sana kwa wao kuwa na Experience ya kucheza na kesi ya Uhaini kama wanavyoweza kucheza na kesi fake za aina nyingine walizozizoea.

Kama unafuatilia, utagundua kuwa siyo hii kesi ya Lisu pekee ndiyo iliyodhihirisha uwezo mdogo wa mawakili wa Serikali.
Kama unafuatilia, kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, kesi zile zilizofanyika nje ya nchi kuhusiana na Serikali kukiuka mikataba ya uwekezaji wa makampuni ya kigeni kwenye sekta ya madini, kote huko ilikuwa ni aibu tupu.

Utambue kuwa hawa mawikili kwenye mahakama za usuluhishi huko nje ya nchi, hawajawahi kushinda kesi yoyote.

Jawa mawakili bila ya kusaidiwa na mahakimu au majaji vipenyo waliotumbukizwa ndani ya mahakama, hawashindi kesi. Ndiyo maana huko mahakama za nje ambako mahakama hazipokee maelekezo kutoka Serikali ya Tanzania, wakati wote huwa wanaangukia pua. Na hata hapa nchini, wakikutana na majaji au mahakimu huru wanaoheshimu taaluma yao, mara nyingi huwa hawashindi. Ushindi wao hutegemea uwepo wa hakimu au jaji kipenyo.
 
Um
Katuga: Kilichotokea kwenye utofauti kati ya nyaraka alizopewa Lissu na zilizopo mahakamani ni makosa ya kibinadamu (A slip of pen)

Lissu: Tofauti iliyojitokeza inaangukia mwenye makosa ya kughushi with intent to deceive me

Katuga: Kuhairishwa kwa kesi hakukumuathiri vitu kivyovyoye.

Lissu: Kuharishwa kwa kesi kuliniathiri kwa kunifanya niendelee kukaa gerezani tena nikiwa nimechanganywa na wahukumiwa adhabu za kifo kwa miezi mitano

Katuga: Kilichotokea Kisutu kwa hakimu kuhairisha kesi bila kutoa sababu ni jambo la kawaida na mara nyingi imetokea

Lissu: Huwezi kuhararisha uzoefu wako wa kuvunja sheria kuwe ni sheria.

Katuga: Hakimu Kiswaga alikuwa akitumia busara kuhairisha kesi kutokana na maombi yangu

Lissu: Mahakama inaongozwa na sheria pekee na si busara. Mahakama ingehitaji busara majaji wengi wangekosa kazi. Mahakama ndio hupaswa kutoa kwa maandishi sababu ya hairisho. Mahakama ndio huwa na sababu za kuhairisha na sio kwa sababu za Katuga.

Hapa kwa lugha ya kukonyeza gizani Lissu alikuwa mara kwa mara akijifanya amekosea jina la wakili Katuga na kumuita Wakili Kiswaga.

Literally alikuwa akituma ujumbe kuwa Wakili Katuga ndiye alikuwa aki influence maamuzi ya hakimu Kiswaga wa Kisutu😂😂

Wakili wa Serikali Job Mrema, leo aligeuka kuwa HOSTILE WITNESS against republic case kwa kutoa marejeo ya kesi zinazounga mkono hoja za Lissu.

Katuga alikuwa amebaki na kazi ya kusema "Sijasema!"

Hapa Lissu alikuwa anawauliza tu majaji kama waliandika kauli za jana za Katuga

Majaji ili kumfichia aibu Katuga wakawa wanamuambia Lissu aendelee kuchana mbao kama wachana mbao wa Mufindi.

Wale wasiotumia chainsaw bali linachimbwa shimo kuubwa, mmoja anakaa shimoni, mwingine juu wanasukuma msumeno

Hapo wameshakula ndoo moja ya ugali yaani Msuli bedi anaokula Lissu usiku gerezani.

Novena is real!
Emeweka summary nzuri sana kudhihirisha uozo wa mawakili wa Serikali wakishirikiana na hakimu kipenyo mwenye uwezo duni.
 
Yaaani ukisikiliza katuga anavyojibizana kwenye hii kesi utagundua kweli mawakili wa serikali hakuna kitu kwakweli hata mimi ambaye sijasoma siwezi jibu vile
 
FACT,huyu anazungumzia mawakili lakini hashangai kwanini watu makini kama wasomi tunowafahamu wakiingia bungeni akili wanaziweka kwenye mifuko kabisa.

Kama hawaamini wamsikilize mzee kimei😁😁
Kabudi
Aweso
Kitila

Na wengine wengi unajiuliza hawa hawa walipaje upro?
 
Back
Top Bottom