The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Upo Sahihi kabisaa mkuuBinafsi naona KATUGA akili anazo vizuri Tu, ila tatizo linakuja kutetea uongo ni vigumu Sana zidi ya ukweli.
Kabisaa!!!!!Sasa hata ukiwa na akili vipi Utawezaje kutetea Uongo boss?
Wanafanya kwasababu wanalipwa na wanafamilia, lkn deep down ni kitu ambacho hata wao hawakipendi
Au Prof Kabudi, Kitila Mkumbo na wengineo hovyo kabisa.FACT,huyu anazungumzia mawakili lakini hashangai kwanini watu makini kama wasomi tunowafahamu wakiingia bungeni akili wanaziweka kwenye mifuko kabisa.
Kama hawaamini wamsikilize mzee kimei😁😁
Wanataka kufanya kazi na vilaza kwa maslahi yao na wanamtandao na sii raia wa kawaida kaawaida.Ukifuatilolia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!
Maswali Muhimu ya kujiuliza:
1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?
2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?
3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Mtu kama Profesa Kabudi amekuwa mtu wa hovyo yaani hana tofauti na Baba Levo wa darasa la 7BFACT,huyu anazungumzia mawakili lakini hashangai kwanini watu makini kama wasomi tunowafahamu wakiingia bungeni akili wanaziweka kwenye mifuko kabisa.
Kama hawaamini wamsikilize mzee kimei😁😁
Hata kama ni kweli lakini yule Mrema wa Leo hana akili. Huhitaji kuwa mwanasheria ili kujua kwamba mwamba hajui.Askari au mwanasheria au yeyote anayefanyia SERIKALI si kwamba ana uwezo mdogo uwa wanafanya makusudi kushindwa kesi , au kesi nyingine uwa ni SERIKALI inalazimisha ziendelee hivo wao wanafanya kutimiza lengo tu !
Nimemkumbuka ndugu yangu Julius Ndyanabo alinipa Siri nyingi (R.I.P)
Britanicca
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!
Maswali Muhimu ya kujiuliza:
1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?
2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?
3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Siyo mawakili tu; wewe jiulize CCM yote kuna mwenye akili???Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!
Maswali Muhimu ya kujiuliza:
1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?
2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?
3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!
Maswali Muhimu ya kujiuliza:
1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?
2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?
3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
halafu huwa kuna kanyimbo kao.ka kubebea magogo.utaskia kabobe kabobee ka mwishoo... hapo semi inakula magogo kwenda mufindi. a real experience at that time when i came Tanzania last yearKatuga: Kilichotokea kwenye utofauti kati ya nyaraka alizopewa Lissu na zilizopo mahakamani ni makosa ya kibinadamu (A slip of pen)
Lissu: Tofauti iliyojitokeza inaangukia mwenye makosa ya kughushi with intent to deceive me
Katuga: Kuhairishwa kwa kesi hakukumuathiri vitu kivyovyoye.
Lissu: Kuharishwa kwa kesi kuliniathiri kwa kunifanya niendelee kukaa gerezani tena nikiwa nimechanganywa na wahukumiwa adhabu za kifo kwa miezi mitano
Katuga: Kilichotokea Kisutu kwa hakimu kuhairisha kesi bila kutoa sababu ni jambo la kawaida na mara nyingi imetokea
Lissu: Huwezi kuhararisha uzoefu wako wa kuvunja sheria kuwe ni sheria.
Katuga: Hakimu Kiswaga alikuwa akitumia busara kuhairisha kesi kutokana na maombi yangu
Lissu: Mahakama inaongozwa na sheria pekee na si busara. Mahakama ingehitaji busara majaji wengi wangekosa kazi. Mahakama ndio hupaswa kutoa kwa maandishi sababu ya hairisho. Mahakama ndio huwa na sababu za kuhairisha na sio kwa sababu za Katuga.
Hapa kwa lugha ya kukonyeza gizani Lissu alikuwa mara kwa mara akijifanya amekosea jina la wakili Katuga na kumuita Wakili Kiswaga.
Literally alikuwa akituma ujumbe kuwa Wakili Katuga ndiye alikuwa aki influence maamuzi ya hakimu Kiswaga wa Kisutu😂😂
Wakili wa Serikali Job Mrema, leo aligeuka kuwa HOSTILE WITNESS against republic case kwa kutoa marejeo ya kesi zinazounga mkono hoja za Lissu.
Katuga alikuwa amebaki na kazi ya kusema "Sijasema!"
Hapa Lissu alikuwa anawauliza tu majaji kama waliandika kauli za jana za Katuga
Majaji ili kumfichia aibu Katuga wakawa wanamuambia Lissu aendelee kuchana mbao kama wachana mbao wa Mufindi.
Wale wasiotumia chainsaw bali linachimbwa shimo kuubwa, mmoja anakaa shimoni, mwingine juu wanasukuma msumeno
Hapo wameshakula ndoo moja ya ugali yaani Msuli bedi anaokula Lissu usiku gerezani.
Novena is real!
Mawakili wote wamesoma vyuo vinavyofanana waserikali na wasio waserikali ila kinachowatofautisha sio akili ni mazingira ya kufanya KAZI kuna mmoja yupo huru mwingine amewekewa mipakaUkifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!
Maswali Muhimu ya kujiuliza:
1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?
2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?
3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Mwenyezi Mungu kawapiga upofu, dadeeeeki. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
ConnectionUkifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!
Maswali Muhimu ya kujiuliza:
1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?
2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?
3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?
Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Askari au mwanasheria au yeyote anayefanyia SERIKALI si kwamba ana uwezo mdogo uwa wanafanya makusudi kushindwa kesi , au kesi nyingine uwa ni SERIKALI inalazimisha ziendelee hivo wao wanafanya kutimiza lengo tu !
Nimemkumbuka ndugu yangu Julius Ndyanabo alinipa Siri nyingi (R.I.P)
Britanicca
Siyo kwamba wana uwezo mdogo.
Kuhukumu uwezo wa mawakili wa Serikali kwa kupima kesi ya Lissu pekee ni kosa la kimantiki linaitwa Hasty Generalization.
Ila uhalisia ni ule aliousema Lissu mwenyewe ya kuwa hawalaumu mawakili wa Serikali kwasababu kesi za uhaini hutokea mara moja kila baada ya Generation mbili hivyo ni ngumu sana kwa wao kuwa na Experience ya kucheza na kesi ya Uhaini kama wanavyoweza kucheza na kesi fake za aina nyingine walizozizoea.
Emeweka summary nzuri sana kudhihirisha uozo wa mawakili wa Serikali wakishirikiana na hakimu kipenyo mwenye uwezo duni.Katuga: Kilichotokea kwenye utofauti kati ya nyaraka alizopewa Lissu na zilizopo mahakamani ni makosa ya kibinadamu (A slip of pen)
Lissu: Tofauti iliyojitokeza inaangukia mwenye makosa ya kughushi with intent to deceive me
Katuga: Kuhairishwa kwa kesi hakukumuathiri vitu kivyovyoye.
Lissu: Kuharishwa kwa kesi kuliniathiri kwa kunifanya niendelee kukaa gerezani tena nikiwa nimechanganywa na wahukumiwa adhabu za kifo kwa miezi mitano
Katuga: Kilichotokea Kisutu kwa hakimu kuhairisha kesi bila kutoa sababu ni jambo la kawaida na mara nyingi imetokea
Lissu: Huwezi kuhararisha uzoefu wako wa kuvunja sheria kuwe ni sheria.
Katuga: Hakimu Kiswaga alikuwa akitumia busara kuhairisha kesi kutokana na maombi yangu
Lissu: Mahakama inaongozwa na sheria pekee na si busara. Mahakama ingehitaji busara majaji wengi wangekosa kazi. Mahakama ndio hupaswa kutoa kwa maandishi sababu ya hairisho. Mahakama ndio huwa na sababu za kuhairisha na sio kwa sababu za Katuga.
Hapa kwa lugha ya kukonyeza gizani Lissu alikuwa mara kwa mara akijifanya amekosea jina la wakili Katuga na kumuita Wakili Kiswaga.
Literally alikuwa akituma ujumbe kuwa Wakili Katuga ndiye alikuwa aki influence maamuzi ya hakimu Kiswaga wa Kisutu😂😂
Wakili wa Serikali Job Mrema, leo aligeuka kuwa HOSTILE WITNESS against republic case kwa kutoa marejeo ya kesi zinazounga mkono hoja za Lissu.
Katuga alikuwa amebaki na kazi ya kusema "Sijasema!"
Hapa Lissu alikuwa anawauliza tu majaji kama waliandika kauli za jana za Katuga
Majaji ili kumfichia aibu Katuga wakawa wanamuambia Lissu aendelee kuchana mbao kama wachana mbao wa Mufindi.
Wale wasiotumia chainsaw bali linachimbwa shimo kuubwa, mmoja anakaa shimoni, mwingine juu wanasukuma msumeno
Hapo wameshakula ndoo moja ya ugali yaani Msuli bedi anaokula Lissu usiku gerezani.
Novena is real!
KabudiFACT,huyu anazungumzia mawakili lakini hashangai kwanini watu makini kama wasomi tunowafahamu wakiingia bungeni akili wanaziweka kwenye mifuko kabisa.
Kama hawaamini wamsikilize mzee kimei😁😁