Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Bila hard facts au insiders information, zitakazoendelea hapa ni speculations na soga tu ambazo ni sawa na story writer anavyokaa chini na kuunda matukio ili kunogesha story.. Siaminini kama kuna kitu cha maana kitatoka out of uninformed & coward keyboard warriors
 
mbona umepaniki mkuu, kwani kuna mtu amesema anamtafuta mtu aliyemuua Rais? si tunaongea tu.
 
Usikae mbali Mkuu 'Soon' watajulikana.
Hakuna atakayejulikana na hata wakijulikana hakuna cha kuthibitisha na hata ukithibitisha hakuna kitu wanaweza fanywa.

Inasadikika naye pia alimwaga damu nyingi bila hatia lkn hakuna aliyeweza kuthibitisha hilo na hata wangethibitisha wasingeweza fanya kitu dhidi yake

HII DUNIA NI KUPAMBANA,UKIZIBAA UNAZIKWA.
 
Kifo cha Magufuri kilikuwa engineered na wamerakani kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa CCM na serikali na baadhi ya wapinzani..ndo maana wakati amelazwa wapinzani walianza kutoa taarifa
Sure
 
marekani mnawasingizia mengi sana. hivi kuna kitu gani marekani anaweza akataka hapa tanzania akakikosa kiasi cha kumuua rais ili akipate kwanza wana haraka gani si wangesubiri miaka kumi tu huyo magufuli angetoka madarakani wangemuweka wanayemtaka au unafikiri wana akili fupi kama za kuku. kama mtu kauawa ujue ni weusi kwa weusi hakuna mzungu wa kubeba lawama za kizembe . we unaona kabisa kigogo kanyamaza unadhani hajui nani anayehusika wakati masiri yote alikuwa anayaanika kama mpunga mbichi. kigogo lazima anajua au anahusika kwa asilimia 99 hiyo moja ya mtoa roho mwenyewe maana hata ukitenganisha kichwa na mwili kama mtoa roho hajaamua bado hiko kiwiliwili kitaonyesha mtu yupo hai na kichwa kitaongea
Mkuu hii 'Comment' yako ingekuwa inauzwa kwa Gharama ya Juu kabisa kwa jinsi nilivyoipenda ningeenda hata Benki yoyote Kukopa ili niinunue. Umeandika 'Madini' tupu na nakupa Heko sana.
 
Kwa sababu tunaishi nchi zisizokuwa na demokrasia. Nchi zenye demokrasia kila kitu kipo wazi, hakuna kuficha ficha. Hata Trump, Boris Johnson walipoambukizwa COVID vitu viliwekwa wazi kwa wananchi wao. Sisi hapa hata Nyerere kama alikufa na Ukimwi hatuwezi kuambiwa ukweli. Siri nyingi sana.
Eti kama Nyerere alikufa kwa nini vile?
 
Bila hard facts au insiders information, zitakazoendelea hapa ni speculations na soga tu ambazo ni sawa na story writer anavyokaa chini na kuunda matukio ili kunogesha story.. Siaminini kama kuna kitu cha maana kitatoka out of uninformed & coward keyboard warriors.
Acha ushamba wa ku generalise mambo. Hata hao unaotegemea watoe hizo taarifa wapo nyuma ya keyboard wanasoma comments kama unavyosoma wewe.
 
marekani mnawasingizia mengi sana. hivi kuna kitu gani marekani anaweza akataka hapa tanzania akakikosa kiasi cha kumuua rais ili akipate kwanza wana haraka gani si wangesubiri miaka kumi tu huyo magufuli angetoka madarakani wangemuweka wanayemtaka au unafikiri wana akili fupi kama za kuku. kama mtu kauawa ujue ni weusi kwa weusi hakuna mzungu wa kubeba lawama za kizembe . we unaona kabisa kigogo kanyamaza unadhani hajui nani anayehusika wakati masiri yote alikuwa anayaanika kama mpunga mbichi. kigogo lazima anajua au anahusika kwa asilimia 99 hiyo moja ya mtoa roho mwenyewe maana hata ukitenganisha kichwa na mwili kama mtoa roho hajaamua bado hiko kiwiliwili kitaonyesha mtu yupo hai na kichwa kitaongea
Kigogo ni nani? KIGOGO ni January, Zitto, Fatima, Maria, Chahali na....nilikuwa blocked na Kigogo na hawa watu kwa wakati mmoja na wala hawako smart.
 
mbona umepaniki mkuu, kwani kuna mtu amesema anamtafuta mtu aliyemuua Rais? si tunaongea tu.
Huenda nae ni Mmoja wao ndiyo maana sasa anaanza Kutapatapa, Kujishtukia na kuwa Mkali.

Nakuhakikishia 'very soon' watajulikana tu tena kwa Kutajana na Kukanana pia. Kuwa Mvumilivu tafadhali.
 
Back
Top Bottom