Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Hyo ilikuwa opinion yangu sio Sheria pia kuamini eti watu kutumia tv kungefanya watu wasiende shule Ina relate vipi na maendeleo au ndo kushikiwa akili na watu wachache majority wawe mbumbumbu, hyo ya tv ilikuwa mfano wa vitu vingi vilivozuiwa tu kwenye nchi za kijamaa ku control masses.

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course ilikuwa ni opinion yako ambayo ni ptofu ndio maana tupohapa.
Ajabu ni kwamba bado hukujifunza lolote tokea na hapo hadi hapa.
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Na video unawekewa bado huamini?
Walewale
 
Na video unawekewa bado huamini?
Walewale
“Wangeleta za kina Gwajboy, Birian, nandyvchupi and other leaked Xvids apa WaTz tunaaminig bila ukakas ila kw hili la ndugu zetu kuzkw #19 na bila taarfa kw kwel tumezba masikio na hatutak kuamin"Said by Santos De La Seine Jaques Walter Vladimir Suzuoka Lin X Kim Sang Mundri
 
Mwaka 1994 Rwanda walikuwa wakifa watu kila kunapo kucha,redio na vyanzo vya habari vyote vilikuwa kimya
Serikali ilipo kuwa ikiulizwa ilikuwa ikijibu hali ni shwali kabisa na hakuna mauaji yoyote ila ni waasi tu wanao sumbua na wao wanazibitiwa.

Watu walikufa vibaya ,maiti barabarani zilizagaa ,nyumba zilikimbiwa ,mito ilikuwa ikisomba maiti za watu,kikubwa vifo vilikuwa vya kutisha anga lilikuwa chafu kupita maelezo ila ukweli ulifichwa mana wa kutoa taarifa hakuwepo,wote wenye dhamana hiyo walikuwa wakifurahia mauaji.
katika hali ya taharuki usitegemee sana serikali ikupe taarifa sahihi wakati wote au ujuzwe kila jambo kwa askari,serikali imesema kuna ugonjwa hivyo ni wajibu wa kila mmoja kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kujikinga.Taarifa za kina kigogo zinaweza kuwa ni za kweli au ni za uongo kutokana na nafasi walizo nazo .Ila ukiwa unakula wali uking'ata jiwe usishangae mana huwa inatokea,ila wali ni ule ule.Chukua tahadhari tatizo la upumuaji linaua watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kuangaza hapo ulipo kama kuna maambukizi au vifo. Hiyo ndiyo taarifa iliyo sahihi kabisa.
 
Si wanamtumiaga ummy lkn ww inakuuma nn
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Naogopa ku comment[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi Kigogo ndie huyo huyo mangi kimambi. mangi kimambi aliacha kuisema serikali mda mrefu sijui mapatano yao na nadhani kafungua web kwa jina la kigogo kuwapoteza maboya na kuanza kuitukana serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And me was my opinion sikuyaota ni Mambo nimeyasoma kwa undani zaidi in deep na sio kusimuliwa before, during and post - independence, wewe ndo hukunielewa
Of course ilikuwa ni opinion yako ambayo ni ptofu ndio maana tupohapa.
Ajabu ni kwamba bado hukujifunza lolote tokea na hapo hadi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You can fool some people for some time, but you can not fool all the people all the time.
 
LOoo, now you show how shallow you indeed are!
Try and re-read what you have posted here!
I'm not shallow, you failed to understand my arguments and you started attacking me.
I have read and understood clearly, stop twisting, otherwise have a nice time, byeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm not shallow, you failed to understand my arguments and you started attacking me.
I have read and understood clearly, stop twisting, otherwise have a nice time, byeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Let me tell you this.
I have seen no substantive arguments anywhere in these postings of yours
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Kama wewe huziamini sawa, endelea kujidanganya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo familia ya benson ilikuwa na cheo gani serikarini mpaka watangaze kifo chake, mbona watu wanakufa miaka yote huku mitaani hawatangazwi, au kwa kuwa huyo anapesa?
Duh! Uelewa wa WaTz? Hujawahi kufiwa pengine.
Matangazo huwekwa radioni, kwenye magazeti, na kwa wenye biashara zao, biashara kufungwa na tangazo la kifo hubandikwa kwa ajili ya wateja.
Kifo si siri, kama inavyoanza kulazimishwa kwa wakati huu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom