Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Haya je unasemaje kuhusu wafuatao kutoka industry a sheria nchini? Wanakufa ndani ya wiki1
Screenshot_20200505-150054_Twitter.jpg
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Rais anasema vifo ni 16 tu.Yaani yeye pekee ndo anajua huyu kafa au huyu amelala tu.Mzee wangu majibu yake yalitoka last week ijumaa na kazikwa siku hiyo hiyo pale ununio but serikali ya wanyonge inasema vifo ni 16 tu.Yaani wanatuona sisi ni mazuzu sana na hivi tunavyowasifia?
 
Inategemea kama alikuwa na Corona au hakuwa nayo. Mama wa best friend wangu kazikwa Dodoma kijijini na watu wengi tu na hawakupewa masharti
Wakati mwingine uelewa wa wahusika juu ya ugonjwa unahusika. Sio kila kitu msimamiwe kama watoto wadogo, ukitaka kuhudhuria mazishi, hudhuria, ukihisi si salama kwa afya yako , usihudhurie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana.
Tunaacha kusikiliza vyombo husika tumekimbilia kuwasikiliza mange na kigogo wanasema nini?.
[emoji16][emoji16][emoji16].
"Hali mbaya kweli kweli".
Ukimuuliza huyo mtu kwani kuna wagonjwa wangapi na waliokufa ni wangapi anakutukana.
Sasa Hali mbaya vipi wakati haujui hata wagonjwa ni wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la idadi ya wagonjwa Tanzania nahakika hata Magufuli hajui,sana sana ataishia kukulisha matango pori
 
Haya je unasemaje kuhusu wafuatao kutoka industry a sheria nchini? Wanakufa ndani ya siku 1View attachment 1440540
Na watu bado akili haziwezi kuwaingia kichwani, wakajiongeza, na kujiuliza maswali!

Tunaacha kutegemea wataalam wa mambo haya waendeshe vita hii, badala yake tunakabidhi maisha kwa wanasiasa (in fact hata kwenye siyasa hawapo, kwa sababu ujuzi nayo hawana).
 
Back
Top Bottom