KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Of course ilikuwa ni opinion yako ambayo ni ptofu ndio maana tupohapa.Hyo ilikuwa opinion yangu sio Sheria pia kuamini eti watu kutumia tv kungefanya watu wasiende shule Ina relate vipi na maendeleo au ndo kushikiwa akili na watu wachache majority wawe mbumbumbu, hyo ya tv ilikuwa mfano wa vitu vingi vilivozuiwa tu kwenye nchi za kijamaa ku control masses.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na video unawekewa bado huamini?Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
“Wangeleta za kina Gwajboy, Birian, nandyvchupi and other leaked Xvids apa WaTz tunaaminig bila ukakas ila kw hili la ndugu zetu kuzkw #19 na bila taarfa kw kwel tumezba masikio na hatutak kuamin"Said by Santos De La Seine Jaques Walter Vladimir Suzuoka Lin X Kim Sang MundriNa video unawekewa bado huamini?
Walewale
Ndo anachomaanisha mleta mada 😂😂Kwamba wanaongea uongo
Anza kuangaza hapo ulipo kama kuna maambukizi au vifo. Hiyo ndiyo taarifa iliyo sahihi kabisa.Mwaka 1994 Rwanda walikuwa wakifa watu kila kunapo kucha,redio na vyanzo vya habari vyote vilikuwa kimya
Serikali ilipo kuwa ikiulizwa ilikuwa ikijibu hali ni shwali kabisa na hakuna mauaji yoyote ila ni waasi tu wanao sumbua na wao wanazibitiwa.
Watu walikufa vibaya ,maiti barabarani zilizagaa ,nyumba zilikimbiwa ,mito ilikuwa ikisomba maiti za watu,kikubwa vifo vilikuwa vya kutisha anga lilikuwa chafu kupita maelezo ila ukweli ulifichwa mana wa kutoa taarifa hakuwepo,wote wenye dhamana hiyo walikuwa wakifurahia mauaji.
katika hali ya taharuki usitegemee sana serikali ikupe taarifa sahihi wakati wote au ujuzwe kila jambo kwa askari,serikali imesema kuna ugonjwa hivyo ni wajibu wa kila mmoja kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kujikinga.Taarifa za kina kigogo zinaweza kuwa ni za kweli au ni za uongo kutokana na nafasi walizo nazo .Ila ukiwa unakula wali uking'ata jiwe usishangae mana huwa inatokea,ila wali ni ule ule.Chukua tahadhari tatizo la upumuaji linaua watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naogopa ku comment[emoji24][emoji24][emoji24]Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Of course ilikuwa ni opinion yako ambayo ni ptofu ndio maana tupohapa.
Ajabu ni kwamba bado hukujifunza lolote tokea na hapo hadi hapa.
Zama hizo kulikuwa hakuna "Satellite tv" , sasa Mwalimu yake alikuwa anaangalia Tv ya wapi? Ya Zanzibar haikuwa inafika Dar.
LOoo, now you show how shallow you indeed are!And me was my opinion sikuyaota ni Mambo nimeyasoma kwa undani zaidi in deep na sio kusimuliwa before, during and post - independence, wewe ndo hukunielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm not shallow, you failed to understand my arguments and you started attacking me.LOoo, now you show how shallow you indeed are!
Try and re-read what you have posted here!
Let me tell you this.I'm not shallow, you failed to understand my arguments and you started attacking me.
I have read and understood clearly, stop twisting, otherwise have a nice time, byeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay relax and drink water.Let me tell you this.
I have seen no substantive arguments anywhere in these postings of yours
No, I am going for wine, and red wine for that!
Kama wewe huziamini sawa, endelea kujidanganya!Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Duh! Uelewa wa WaTz? Hujawahi kufiwa pengine.Hiyo familia ya benson ilikuwa na cheo gani serikarini mpaka watangaze kifo chake, mbona watu wanakufa miaka yote huku mitaani hawatangazwi, au kwa kuwa huyo anapesa?