Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Haya je unasemaje kuhusu wafuatao kutoka industry a sheria nchini? Wanakufa ndani ya wiki1
 
Rais anasema vifo ni 16 tu.Yaani yeye pekee ndo anajua huyu kafa au huyu amelala tu.Mzee wangu majibu yake yalitoka last week ijumaa na kazikwa siku hiyo hiyo pale ununio but serikali ya wanyonge inasema vifo ni 16 tu.Yaani wanatuona sisi ni mazuzu sana na hivi tunavyowasifia?
 
Inategemea kama alikuwa na Corona au hakuwa nayo. Mama wa best friend wangu kazikwa Dodoma kijijini na watu wengi tu na hawakupewa masharti
Wakati mwingine uelewa wa wahusika juu ya ugonjwa unahusika. Sio kila kitu msimamiwe kama watoto wadogo, ukitaka kuhudhuria mazishi, hudhuria, ukihisi si salama kwa afya yako , usihudhurie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la idadi ya wagonjwa Tanzania nahakika hata Magufuli hajui,sana sana ataishia kukulisha matango pori
 
Haya je unasemaje kuhusu wafuatao kutoka industry a sheria nchini? Wanakufa ndani ya siku 1View attachment 1440540
Na watu bado akili haziwezi kuwaingia kichwani, wakajiongeza, na kujiuliza maswali!

Tunaacha kutegemea wataalam wa mambo haya waendeshe vita hii, badala yake tunakabidhi maisha kwa wanasiasa (in fact hata kwenye siyasa hawapo, kwa sababu ujuzi nayo hawana).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…