dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Serikali yenyewe ina maadili?Mtu hyu amekuwa na matukio mengi ya ajabu mara kurekodi picha za uchi , mara kutembea na wanafunzi mara kudhalilisha wake za watu yaani ni mtu Mjinga mjinga tu lkn ndio huyu huyu anapewaa ubalozi na ma kapuni na kupewa endorsement kubwa na serekali.
Leo hii namuona Zanzibar wamemuita aje amsifie Dr Mwinyi Hussein kwa kaz anazo zifanya huko zanzibar
Nashangaa sana mtu amekosa maadili lkn ndio huyu huyu ni mtangazaji, balozi wa makampuni mengi,.. Je hawa watu wanao mpa kazi mtu mshenzi kama huyu je hawa uoni vitu vya ajabu anazo fanya mtaani hususaani kwenye mitandao ya kijamii
Anaingialia maisha ya watu bila kujali wewe ni nani hv sasa ana mshambulia vikali haji Manara kwa matuz mazito bila kujali kuwa haji si wa umri wake
Natoa wito kwa makampuni na Watu wa serekali na Watu walio muajiri wasitishe mkataba na yeye mara moja hadi atakapo badilika manake huyu mtu anapata jeuri sana kisa hv vi endorsement mnazo mpa Leo anamtukana haji na kutembea na wanafunzi kesho atakuja kudhalilisha kiongozi yoyote
Mamlaka naombeni huyu apelekwe kwenye vyombo vya maadili hzi content zake hazina afya kwa JAmiii
Kila kitu kina Zama zake kwa promo ya mwijaku akiongezewa motisha labdah ya Baba levo pembeni.....Watu wengi watawafuatilia Ndio maana Ni ngumu kuwakataaMtu hyu amekuwa na matukio mengi ya ajabu mara kurekodi picha za uchi , mara kutembea na wanafunzi mara kudhalilisha wake za watu yaani ni mtu Mjinga mjinga tu lkn ndio huyu huyu anapewaa ubalozi na ma kapuni na kupewa endorsement kubwa na serekali.