Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kile kiwanda chetu cha Nyumbu Kibaha bado kipo kianze na kutengeneza gari ya Mwigulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za Kikwete na Magufuli walifanya hazina maana yoyote hapa.Haya nayo ni majabu ya Tanzania. Pamoja na kwamba naunga mkono tozo lakini siungi mkono serikali kununua magari ya kifahari. Magari ya kifahari tuwaachie watu binafsi na sio serikali.
Kwenye hili tusilaumu serikali iliyopo pekee hata kikwete na Magufuli walitumia pesa vibaya sana na hasa Magufuli kwenye ziara zake na misafara mikubwa.
Hakuna sababu ya msingi ya serikali kushidwa kupata magari mazuri tena na warranty kwa 100M za kitanzania.
Hatuwezi kuendelea kutetea serikali kama haita chukuwa hatua za haraka kwenye hili. Serikali imekuwa ikijivuta vuta sana
Natambua serikali ilitaka kuja na utaratibu wa kukopesha lakini wafanye haraka
Kweli ndugu yangu, nchi inatakiwa kuenenda kulingana na hali yake ya kiuchumi, na sio kuonyesha matumizi anasa' wakati ni maskini! Nchi kama Botswana huwezi kuta wana matumizi ya serikali 'zembe kama unavyoona Tz.....Kuna shida gani ikinunuliwa harrier?
Hiyo sentence yako moja tu ya kuunga mkono tozo, inaonyesha unafikiwako.Haya nayo ni majabu ya Tanzania. Pamoja na kwamba naunga mkono tozo lakini siungi mkono serikali kununua magari ya kifahari. Magari ya kifahari tuwaachie watu binafsi na sio serikali.
Kwenye hili tusilaumu serikali iliyopo pekee hata kikwete na Magufuli walitumia pesa vibaya sana na hasa Magufuli kwenye ziara zake na misafara mikubwa.
Hakuna sababu ya msingi ya serikali kushidwa kupata magari mazuri tena na warranty kwa 100M za kitanzania.
Hatuwezi kuendelea kutetea serikali kama haita chukuwa hatua za haraka kwenye hili. Serikali imekuwa ikijivuta vuta sana
Natambua serikali ilitaka kuja na utaratibu wa kukopesha lakini wafanye haraka
Ndiyo.kwani kunatatizo?nchi masikini hii kwa nini ununue gari la 500millioni?Unataka gari ya Raisi wa Nchi inunuliwe harrier?
Rais anaweza kutumia gari moja au mawili sana na analotumia Mh.Mwitozo, ila hao watu wake wengine wengi watumie hata HAVAL, KIA, ISUZU, RANGER, NASSAN n.kUnataka gari ya Raisi wa Nchi inunuliwe harrier?
Kwani mkuu hujaona serikali wakitumia magari madogo? Hadi bajaji na pikipiki zipo piaKwenye tozo mimi nina ropic nzima ya kusema nina unga mkono tozo hilo liwe wazi.
Unasema sheria ya magari mapya mbona kuna magari mapya mengi ya bei ya $30,000 na chini inakuwaje mapya iwe maana ya Tsh 300M hadi 500M.
Hivi ni visingizio nakimbuka zamani kulikuwa na 505, Renaults, Carina sasa tuna barabara nzuri ofisa wa mjini na V8 ya nini? Yaani wafanyakazi wa Dar na mijini wote kuna sababu gani au ulazima wa kuwa na VX
Imekuwa ni aibu wanao tusaidia pesa kwenye shule na afya wanatumia magari ya kawaida. Hapa US viongozi wanatumia jeep na Ford na sisi tuna ushamba wa kujionyesha tena serikali kama sifa vile kununua magari ya tsh 500M
Kwani mkuu hujaona serikali wakitumia magari madogo? Hadi bajaji na pikipiki zipo pia
Wanazitumia kwa masafa marefu,Naongelea magari ya hizo bei nilizosema. Bado sijapata sababu ya msingi ya kununua hayo magari
Wanazitumia kwa masafa marefu,
Unadhani wakati wa nyerere hakukuwa na gari za kifahari ? Mzee wetu ndo pekee aliekuwa anajali shida zetu si hawa walamba asali.Unataka gari ya Raisi wa Nchi inunuliwe harrier?
kwani suzuki ni shs ngapi? hata landrover zinatosha sana.Watanzania bwana, kila kitu tozo tuuu wakati imeanzishwa juzi tu na magufuli, na walalamikaji wengi ni walalahoi ambao walikua hawalipi kodi kwa kuhisi inalipwa na matajiri tu kumbe inalipwa na kila mtanzania haijalishi kipato chako sasa imebuni mbinu ya kuwakamua wote kelele nyingiii[emoji23][emoji23]
Kuhusu magari ya serikali mjue tu sheria inawabana, hairuhusu kununua chochote cha mtumba bali mpyaaa na karatasi lake sasa sisi tunanunua ya miaka 10 nyuma tunaona jipya [emoji23]
Sasa wewe mwenyewe unawakandia yet unaunga mkono waongeze kodi!!! Yaani una ndoo unaona kabisa inavuja maji yet una fight iendelee tu kujazwa maji!!!!Kwani Watanzania ni wajinga kwanini wasinunue pickup double cabin kama ni kwa safari?. Na pili wanaenda wapi wakati kuna viongozi Tanzania nzima. Yaani wewe ni Mkurugenzi Dodoma unaenda Mwanza kufanya nini hasa wakati kule kuna viongozi. Kama ni shughuli au ni kijijini kwenye tumia usafiri wako binafsi.
lakini Watanzania wengine wasio na V8 wanasafiri vipi?
Sheria,Iko sahihi mitumba ni ghali zaidi, lakini je hakuna magari mapya ya chini ya 300,?hakuna new brand60m? Tuamini kwamba serikali inamiliki magari ya300-500m?Watanzania bwana, kila kitu tozo tuuu wakati imeanzishwa juzi tu na magufuli, na walalamikaji wengi ni walalahoi ambao walikua hawalipi kodi kwa kuhisi inalipwa na matajiri tu kumbe inalipwa na kila mtanzania haijalishi kipato chako sasa imebuni mbinu ya kuwakamua wote kelele nyingiii[emoji23][emoji23]
Kuhusu magari ya serikali mjue tu sheria inawabana, hairuhusu kununua chochote cha mtumba bali mpyaaa na karatasi lake sasa sisi tunanunua ya miaka 10 nyuma tunaona jipya [emoji23]
Sasa wewe mwenyewe unawakandia yet unaunga mkono waongeze kodi!!! Yaani una ndoo unaona kabisa inavuja maji yet una fight iendelee tu kujazwa maji!!!!