Kwanini Serikali inanunua magari ya Tsh 300M hadi 500M?

Walipa kodi bado kidogo lakini serikali nayo inatakiwa kupunguza matumizi
Your browser is not able to display this video.

Msafara wa "Tuna imani nawe Mwigulah" ...Ni matumizi tu haya yasiyo na tija yoyoye...
 
Wengi mna hoja lakini kwa nchemba kuna meengi ya kuyafanyia kazi
1. Sisi TZ Toyota wanatuuzia magari mata mbili ya bei,kenye wao kwao ni pungufu .
2. Tulimpigia makofi meengi basi atekeleze ahadi ya hao wakubwa watumia magari yao.
 
Serikali inaongoza mazuzu, majinga na mapoyoyo yasiyohoji na hayaelewi kama fedha zinazotumiwa na serikali ni zao na wanapaswa kuhoji matumizi yake.

Naiomba serikali inunue magari ya bilioni 1 ,2 au 3 mpk haya matanzania yaamke.
Ulifanikiwa kutoa mimba.?
 
Haya maajabu yapo Tza Waziri yupo kwenye v8 la Milioni 500 plus msafara wa magari na gharama ya mafuta isiyopungua milioni 6 anaenda pigia kelele chumba cha milioni 11.
 
Nilichogundua una wivu mkuu, unatamani utembelee gari ya ghali kuliko hata ya rais, waziri atembelee pikapu kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Haya maajabu yapo bongolala pekee ambapo maafisa wa serikali wanatumia magari ambayo hata wafanyabiashara wakubwa wanaoilipa kodi hawawezi kumudu kununua, only in bongolala can this happen!
 
Cha kwanza ikatae tozo inayokwenda kinyume na katiba na sheria za nchi

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Tunaongozwa na watu wasiostahili hilo wenzako hawawezi kuliona hata wale karoti shamba zima
 
Kwasababu sisi wananchi ni wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…