Kwanini Serikali inaogopa wachunguzi wa Kimataifa?

Kwanini Serikali inaogopa wachunguzi wa Kimataifa?

Jamaa anaakili za kuvukia barabara tu kma lizaboni na kujifanya anaipenda tz kwa kuvaa skafu za bendera
 
Kumetokea matukio ya ajabu na kutisha ndani ya miaka hii miwili iliyopita na watu wamepaza sauti kuomba wachunguzi huru waitwe ili kufanya upelelezi maana kuna uwezekano hawa Wa ngani wameshindwa au kuna kulinda maslahi ya kisiasa ya baadhi ya viongozi.

Kuanzia tukio la Saanane, Awory hadi Lissu na maiti za kwenye viroba, jee inahofiwa kuwa uchunguzi huru waweza kurahisisha safari ya The Hague kwa baadhi ya viongozi?
 
Hao CCM hawawezi kuruhusu wachunguzi wa nje kwa kuwa wanaua wao wenyewe ndiyo wamehusika.......

Hebu tujiulize naswali mepesi tu.

Hivi ni kwanini IGP Sirro au waziri wa mambo ya ndani Mwiguru Nchemba hawajajiuzulu au kufukuzwa kazi kwa kushindwa kumpata hata
mtuhumiwa mmoja, wakati shambulio limefanyika mchana, tena kwenye makazi ya wakubwa??

Hebu tujiulize swali jingine, hivi ni kwanini wale walinzi siku ya tukio walipewa "likizo" wasiwepo getini wakati wa shambulio lake??

Ni kwanini camera za CCTV "zimenyofolewa" Mara tu baada ya tukio lile??

Ukiyatafakari hayo unapata "clues" ya nani anahusika na shambulio lile la kutaka kuondoa maisha ya Tundu Lissu!
 
Hiyo the hague unaisemea ni kama unavyoenda kijijini kwa bibi yako rombo vile[emoji17]
 
Hii nchi utadhani inaongozwa na vilaza na wananchi wake kama maiti ivi yaani sie kama vile ni viumbe tofauti na binadamu wengine kama Kenya au Uganda.

Kwanini jeshi la polisi na serikali hawataki tume huru kuchunguza vitendo vya wasiojulikana ni kina nani wanaolindwa na serikali hii ambao kujulikana kwao kunaonekana kutahatarisha amani ya nchi au kifanya maisha ya watu flani mashakani?

Kwanini yakitoke majianga serikali inakuwa wepesi wa kutembeza bakuri kutaka misaada ila kwa wasiojulikana hawataki?

Kwanini tusiamini wasiojulikana ni serikali yenyewe?
 
Nchi hii ni pasua kichwa... wananchi wake wenyewe pia pasua kichwa.... huwa hawaelewi wanacho simamia na wanacho amini... wala wanacho kitaka au wanacho hitaji

unnamed.gif
 
"Msitupangie aina ya misaada tunayotaka. Kama ni misaada ya 'kurimbikiza' madeni 'reteni', rakini kuchunguza masuara ya ndani ya inchi yetu tuachieni 'tutadiri' nayo wenyewe" ~ in stone's voice
 
Wakubwa shikamooni,wenzangu habari zenu,

Namba nianze na zana ya "wasio julikana" Hili ni nadharia ilioibuka baada ya ndugu zetu watanzania kupotea aidha kwa kutekwa au kupotea pasipo alama au watu waliofanya vitendo hivyo kutojulikaña japo ya fununu kuzagaa ila zikakosa uthibitiso(concrete evidence).
Juzi mh Lugola ametoa takwimu za watu wakiopotea kwa miaka miwili iliyopita na waliopatikana pia wapo ambao mpaka sasa hawajapatikana mfano Ben SAA nane,Azory,n.k na sasa icon ya Tanzania kwa utajiri,Mohammed Dewiji,

Hali Hili ta kupotea kwa watanzania na uhalifu Wa silaha wazi wazi kama ilivyooneka kwa Mh Lissu,Mh nape na matajiri wengine kuuawa kwa silaha kama yule Wa masaki nani alaumiwe,??

Je ni jeshi LA polisi,???
Je ni wananchi???
Au viongozi?
Ivi sheria ya jinai katika kutafuta waharifu Wa jinai inakataza kuweka wazi video,Picha,za uhalifu uli kupata msaada Wa wananchi !! Mimi siyo mwanasheria nimeuliza tu,pia ni nani huwa anatoa zile CCTV camera eneo LA tukio nilisoma mahari kuwa CCTV camera kule Dodona kwa Lissu zilitolewa mpaka sasa hatujui ni jeshi LA polisi au wasijulikana ndo walitoa kama ni polisi kwa mini wasiweke wazi basi sisi wananchi ni wengi na tupo nchini kote pengine tungewafahamu wasiojulikana.pia hata pale hotel alipotekwa Mo Dewiji CCTV wanasema hazionyeshi vizuri,pengine zimenyofolewa basi hizo zisizoonyesha vizuri zisambazwe wengine ni wataalamu Wa kuzumu,,,,,
Ni siwachoshe ,mani tangu sasa ni hata
1.Jeshi LA polisi liunde chombo kingine ndani yao kikaongeze ujuzi nje huko kwa vyombo vinavyo fanana kama CIA,FBI,N.K Uli Tutoe Giza LA wasijulikana nchini.
2.pale inaposhindikana,TUKODI VYOMBO VYA KIPELELEZI KUTOKA NJE ILI TUMALIZE KADHIA HII ila tu kama sheria zinaruhusu.akina Dewiji wana hela waombe usaidizi Wa Interpol kumtafuta Dewiji wao maana naona Giza linatanda tu..
3.Polisi wanaomba ushirikiano na wananchi wakati details wanazo wao tutawasaidiaje.mfano magari,Picha za wahalifu kama zinavyonyeshwa Mwenye CCTV kamera,
4.MIHIMILI YETU ITOE TAMKO LA KUPINGA,KUKATAA,NA KUTOKOMEZA HII DHANA YA (wasio julikana ) kwa vitendo iundwe tume,au Rais aseme imetosha sasa uli dhahania ya Serikali kuhusishwa na matukio ikomeshwe kabisa,ili imani yetu iongezeke zaidi..

5.Viongozi wetu Wa serikali na majeshi waache kuwatishia wananchi juu ya matukio kama hayo pale wanapo taka kujua,pia siyo kila tukio wananchi wanaingiza sias ila ni wapo viongozi hufikiri hiyo mfn.juzi hapa kola kiongozi anazungumzia "mtaji Wa kisiasa" pale watu wanapo hoji mmmm hawana viongozi hawatoshi kifikra tena wapo sheria za TCRA Zimekuwa bubu ghafla kiongozi anadanganya umma eti Mo Dewiji kapatikana ni nini dhana yao tena ghafla njumbe zinafutwa Na kuandikwa HAJAPTIKA NA TENA MMMM!!!!!!!

KILA RAHERI nini maoni yako mwanchi je tutawajua wasijulikana au tusubili wasiojulikana wajiteke wafarakane ndipo tuwajue, Je kuna njia nyingine lete maoni yako....
Ahsanteni
Mwananchi
 
Back
Top Bottom