Kwanini Serikali inawambia watu ambao haiwezi kuwaajiri waombe nafasi za ajira?

Bado yapo malalamiko mengi sana mkuu. Fuatilia utajionea mwenyewe.
Hata ufanyeje malalamiko hayawezi kuisha mkuu. Wabongo asili yetu ni kulalamika na kulaumu kwa kila jambo hata kama lina manufaa sisi ni kulalamika tu kwakwenda mbele ila mfumo wa ajira portal kwa kiasi kikubwa umepunguza urasimu na wengi wamafurahishwa nao. Wachache wanaolalamika achana nao maana sio kila kitu kitapendwa na kila mtu
 
Sasa hao ndo walifanya makusudi wenyw kbs. Hao ata nafasi wasipewe maana wanawazibia wenzao rizki
Wazir kashasema na kuna hoja kaiona kwao ndio maana, halafu kama Taifa hatuwezi kutoa ajira kwa mitego. Kama yupo Mtanzania kapata fursa ya kwenda kujiendeleza hata nje aende na akurudi apewe nafasi kama zipo ili kuleta ufanisi zaid.
 
Hapo hakuna ajira mpaka sasa pdf ya majina feki imeshaandaliwa, nibora yule ambaye hakuajiri kabisa kuliko huu unafiki unaoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…