ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile ya Ndanda zinajengwa, Viwanda vya size ya kati, masoko ya kisasa, stand ya kisasa, nyumba za shirika la nyumba za bei nafuu, potelea mbali hata ikiwa ni mradi elephant projects ila ijenge tu na sekta binafsi pia ihusike kila mradi kama wabia.
2030-2033 tunapeleka trillion 5 Kigoma sio kwamba sehemu nyingine hazizingatiwi zinangatiwa ila nguvu inahamishiwa kigoma kwa muda sijajua kama hesabu zangu ziko sawa ila naona trillion 5 inatosha kabisa kwa miundomindo kama lami katikati mwa mji na kutoka kwenda wilayani na mradi mingine yote niliyotaja..
2033-2036 tunaelekeza manyara tunajenga madude makubwa hivyohivyo tu kama ni maviwanja ya mipira, basketball, golf, yajengwe tu hata kama hayatumiki kwani pesa uzuri si zinabaki hapahapa nchini kikubwa tunatumia wakandarasi wetu kwa sana.
2036-2040 Mbeya au Musoma