Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Mkuu acha kupotosha uma..io walimu wengi wa IST ni wakenya umeipata wapi?au umekariri? Kuna aina mbili za walimu mosi TO ambao wote ni wa Tanzania na T ambao mostly ni wazungu na watanzania,km kuna wakenya hazidi mmoja, elimu yao hairuhusu kufundisha pale(mind you pale kigezo sio kujua kuongea kiingereza tu ili upate nafasi).Walimu wengi wa IST ni wakenya, wako na mishahara 'minono'
and btw, uko tayari kulipa 50m ya ada ?
Turudi kwenye mada kua na shule km IST ni jambo jema na linawezekana tatzo linakuja kwenye gharama za uendeshaji...kuwalipa walimu kutoka nje na kuhudumia miundo mbinu ya elimu...serikali ipi itakua teyari ku allocate budget ya mwezi ya shule zote tz kwa shule moja?itakua ujuha kufanya hio kitu
Pia watz tuna lalamika sana, watanzania tushazoea maisha ya kijamaa(flat life) ukiona mwenzio yupo juu lazima watafte namna..juzi nliona thread ya watu wakilalamika kuhusu mashirika ya serikali yanavyolipa zaidi kuliko halmashauri( hili lazima tulitegemee kwa walimu ikianzishwa shule km IST). Kuna program pale ya one to one(kila mwanafunzi na laptop or ipad yake), bungeni wapo 300+ watu walizungumza sana kuhusu ipads, ss ukanunulie wanafunzi 1000+ kelele zake unadhani zitakuaje?
Tunachoweza kufanya tuanzishe mitaala ya IB tufundishe locals kwa content za wenzetu then tuanzishe IST zetu bt nayo naona ngumu maana sisi hatulipi walimu vzuri (tuwalipe vzuri) otherwise wakisha graduate lazima wasepe nje maana soko lao huko sio la kitoto.
So wale wanaodhani swala la kutokua na shule km hio ni swala la kisiasa wafute hayo mawazo hayo mgando...swala ni pesaaa na aina ya walimu tulionao Tanzania.