sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Akiweka unitag mkuuWeka kosa moja la Maria Sarungi
Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Chama Cha MazezetaNdomaana CCM inaonekana kuwa na watu wajinga. Sasa kwakosa gani? Kuhoji alipo Rais?
Kwahi hata wewe hutamani kumuona Rais?
Shithole kabisa nyie viumbe
Mazezeta wakishiba wanakuwa na akili. Haya ni mahayawaniChama Cha Mazezeta
CCM naona mmeanza unabiiMaria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .
kwa akili zako lile ni jibu, watanzania tuna matatizo sana kwenye bongo zetu yaani ni wavivu wa kupitiliza hata kufikiria mara mbili tuu hatuwezi.waziri mkuu ameshajibu...anachotaka ni nini? anataka tuingie kwenye machafuko?